Kaka wa Dida: Marehemu aliacha kutumia dawa za vidonda vya tumbo, fangasi zikapanda kichwani

Kaka wa Dida: Marehemu aliacha kutumia dawa za vidonda vya tumbo, fangasi zikapanda kichwani

Status
Not open for further replies.
Ila dada ameniuma Huyu jamani. 😭😭
Sijawahi kumuona live lakini nilikuwa nampenda jinsi anavyofanya kazi zake na maisha yake.
Yaani usiku wa kumakia Leo sijalala vizuri, nikitoka msalani navusha.
Natamani niwe na moyo mgumu konki 💪 nisiwe naumia hivi aisee!
Dida nilikuwa namkubali sana. 😭
Mwenyezi Mungu amtunzie binti yake aende ktk njia yenye kumpenda Mungu na wanadamu.
 
Kaka yake marehemu Dida Shaibu aliyekuwa mtangazaji wa Wasafi fm, amesema mdogo wake alikuwa na vidonda vya tumbo akaacha matumizi ya dawa ikampelekea fangasi kupanda kichwani.

CHANZO PTVTZ

Pia soma TANZIA - Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia
 
Na alikuwa na mdomo kweli kweli si utani, mchambaji hodari mswahili haswa,
Il video nimechek ni 12 weeks ago ukienda kuchek comments pale waja wamejiachia na ye ye wala hajajibu mtu kumbe alikuwa Hali sio 🥲
Unajua had ugonjwa ufike kwa jamii mwenyewe anakuwa ameshateseka Kimya kimya MDA mrefu
 
Aliamua kukupuuza tu, au alikuwa anaumwa km usemavyo sababu hata kaka yake kasema aliacha dawa akawa ni kupiga tungi tu, ni wazi kuna jambo lilikuwa linamtafuna taratibu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom