Kaka wa Mange Kimambi aenda tena ofisini kwa RC Makonda

Lengo ni kumtoa Mange kwenye reli,Anil amefurahi sana kununuliwa na BASHITE kwa ajili ya KuSPIN agenda.
 
Huyu dogo kama utampeleka kule kongo kwa kina andunje wala watu wale, unaweza ukarudi na gunia la dhahabu.
 
MANGE sio anaumia picha zinazopigwa ndugu yake na RC wa Dar es salaam bali anajua dogo atakuwa anauza silaha(SIRI) kwa maadui kutoka kwa MANGE.
 
Nadhani hii move kaianda mange ili kulinda mali za familia hasa btar 26/04 inapokaribia...kumbuka serikali inaweza kufanya lolote kuikomoa familia
Exactly, mange Mwenyewe amekuwa akituamisha kuwa watu huwa wanatekwa au kutishiwa kuuwawa ili waseme kile ambacho serikali inataka, refer Nondo, Asad n.k

Sasa anashindwaje kujua kuwa hata mdogo wake anaweza kutishiwa???

Ubongo wa yule Dada ni mkubwa sanaaaa
 
Nadhani hii move kaianda mange ili kulinda mali za familia hasa btar 26/04 inapokaribia...kumbuka serikali inaweza kufanya lolote kuikomoa familia
Mange hana uwezo wala akili ya kiwango hicho. Ipo siku muda utaongea. Juzi ameomba msamaha kwa Zitto....kuna siku atamuangukia na kuomba msamaha Watanzania.
 
huyo ni limwili tu atakuwa bado mtoto hata hajielewi, bado anakuwa so atatumika na kina bashite mpaka aombe poooo, usikute wako team moja
 
Lilo,kumjua Namjua toka 2010 nikampotezea siyo kwamba najifanya namjua namjua kindakindaki alikuwa anasoma uingereza,likizo naonana nae,bata kwa sana tu,alikua anatembelea hammer
unataka zaidi?
Hahahah......watu wanasema ana uwezo wa kumaliza nusu mbuzi choma mwenyewe! Kuna ukweli wowote? Wewe tuu ndo mwenye ukweli wote kuhusu hii tuhuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…