Kaka wa Polepole amshukia vibaya mtoto wa Samia "Abdul"

Dully ajianda bado kazi ni nzito Tanzania mpya tayari imeshafika hamna kuogopa wala kulia lia

29 oktoba dully atafutwe alipo
tunataka location yake maana bado siku 18 tu!
Now God has brought to us brand new version of POLEPOLE...

Mungu Ametuletea Polepole mpya!

Mannnyok! Walidhani kazi imeisha! Kumbe ndio kwanza moto umeanza kukolea!...mechi iko halftime!... na sasa ni ngwe ya lala salama!....Nadhani kwa kauli hizi Mafwele and the Co., watie nywele maji!
 
Mkuu unafikiri anaweza kuchukua hatua gani? Haya maneno ya kujirekodi au kutishia kua nitasema hivi au vile,kwa muda huu sidhani kama yana impact yeyote ile,

Anatakiwa awe tu makini sana kwa muda huu.
Hatua niliyomaanisha ni jana alisema kupitia ile "chip" anajua mdogo wake alipo na alisema wasithubutu kumuua maana anaona na anajua waliomteka na ambapo anashikiliwa.
 
Dully ajianda bado kazi ni nzito Tanzania mpya tayari imeshafika hamna kuogopa wala kulia lia

29 oktoba dully atafutwe alipo
tunataka location yake maana bado siku 18 tu!
Mpaka sasa nadhani Mafwele &Co wanajiuliza maswali mengi. Juhudi zao zinanyamazisha au zinawapa sauti wale wengine ambao hawakuwa na sauti?
 
Hii mikwala mbuzi na muendelezo wa kuleta mizaha kwenye mambo serious hii nchi tumepotea sana na kitakachotibu huu ugonjwa ni kupata TUME ya wanaoamini na wasioamini (wote wasioaminiana kufanya uchunguzi once and for all ambao hitima yake ni kutupa watu gerezani) na kama ndani hatuwezi hata tuite watu kutoka nje...

Sababu naona tunazidi kulea vidonda, na watu kurusha majina hapa na pale... na ni kwamba huyu Abdul ni new Recruit au alikuwepo tangia ujinga huu unaanza kuchomoza-chomoza ?

Imani / Kuaminiana kwenye vyombo vya dola ni moja ya nguzo muhimu sana; angusha hio basi naturally state inaangukia kwenye anarchy..... Nilisema haya kitambo sana....

 
Hasira hasara, jamaa anamaumivu understandably lakini inabidi cooler heads wakae nae.

Vinginevyo ataishia kama ‘Sonny Corleone’ makes sense of the character kama umeangalia ‘the godfather’.

Mwisho wake nae utakuwa sio mzuri, soon asipotuliza munkari “revenge is best served cold” leave it to karma.
 
Solution ni kuunda tume? Hiyo tume inaundwa na nani , itapeleka report kwa nani alafu ili nani achukuliwe hatua?

2022 walikuja na kikosi kazi, kikakusanya maoni , wakaja na tume ya haki jinai. Lipi limefanyiwa kazi katika hiko kikosi kazi na tume ya haki jinai
 
Sasa amejipanga? Au anataka kuzingua kama mdogo wake aliyedakwa kiurahisi tu wakati wengine tulidhani ni Jasusi hodari.
Stage aliyofika wala hakuna alipojipanga. Anafanya hayo yote sababu ya maumivu aliyonayo. Ni kama wewe mama yako auwawe na mtu unayemjua, hata akowa na nguvu gani hutamuogopa tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…