Aliasisi vipi huo utekaji? Acha kuropokwa kama umepakwa mafutaPolepole atekwe tu na afanywe chochote. Yeye ni mmoja kati ya watu walioasisi utekaji, uuaji, unyang'anyi wa fedha za wafanyabiashara, kuzuia mikutano ya vyama na kununua wabunge wa upinzani. Mwache naye anywee kikombe alichowanywesha akina Ben Saanane
Key board warrior kwenye ubora wakoWewe umejua vipi nazuia kwa kuandika JF; na wewe unanijibu JF ili iweje?
Samia na Genge lote; mkiwemo na nyinyi walamba makombo ya hao wanaowafuga, siku yenu mwisho ni Oktoba 29. Usifikiri kuna mchezo hapa tena.
Haya siyo maswala ya JF tena.
Huu mbona ni msemo wa kila siku humu; wewe ulikuwa bado hujaupata?Key board warrior kwenye ubora wako
Alikuwa mmoja wa watendaji wakuu wa Magufuli ambaye Magu ndiyo alianzisha mauchafu yote.Aliasisi vipi huo utekaji? Acha kuropokwa kama umepakwa mafuta
Kama ukimsikiliza mama yake Pole pole basi utakuwa umejua Samia ameingia kwenye mtumbwi wa vibwengoHii familia ya Polepole ina mihemko mno. Wanakurupuka
Hahahaha hivi kapten tesha alisema atarudi kutusemesha liniHuyu msanii tu kama Keptein Tesha. Watu wa vitendo hufanya mambo yao kimya kimya tu. Angekuwa serious sasa hivi tulipaswa kuwa na msiba na siyo kusikia vitisho.
Kuna case ya Zacharia yule mmiliki wa mabasi ya Zacharia sijui kama bado yapo alifanya kweli kipindi cha Magu.Huwa najiuliza siku polisi wanaenda mteka MTU anawasukumia risasi wote sijui UMMA utaelezwaje uelewe maskini
Dully ajianda bado kazi ni nzito Tanzania mpya tayari imeshafika hamna kuogopa wala kulia lia
29 oktoba dully atafutwe alipo
tunataka location yake maana bado siku 18 tu!
====================
Na bhana Duli nikwambie kitu kimoja, siku nyingine kabla ujatuma salamu uliza CV yangu fanya utafiti kidogo, kwa sababu wewe unaishi familia ya kimalikia hujui mapambano ya watu maskini, hujui shida za Watanzania.
Young Boy unapaswa kunyamaza na upate hekima kidogo ukasaidie famila yako wapate hekima kidogo. Ukinifanya nitume salama kama nilizotuma tusilaumiane
View attachment 3486840
Umenidisappoint..Sasa amejipanga? Au anataka kuzingua kama mdogo wake aliyedakwa kiurahisi tu wakati wengine tulidhani ni Jasusi hodari.
Hakuna lolote hamfikii mdogo wake hata robo, Polepole mwenyewe alivyokuwa anatema mkwara nikajuwa huyu ana kikosi kamili chini yake kumbe........huyu mwepesi sana nikatufauta kiki nyuma ya mgongo wa mdogo wake. Ndio mara ya kwanza watu wanamsikia. CCM hawa wakiona nyoka hana sumu hawana shida ila ukijuwa mambo yao wanakuja.Mdogo wake ni Diplomats .....huyu kazi kazi
Moja extra-judicial killings pamoja na ubaya wake zimekuwepo duniani; ndio hivyo Mamlaka nyingi uzitumia kwa mgongo wa Usalama wa Taifa), tatizo hapa tulipofikia hakuna imani na vyombo vyote vya Dola (hio ni hatari na ndio definition ya failed state) sawa kama huamini masheikh wote vyama vyote kipi unakiamini (na sababu hicho unachokiamini na chenyewe kiwepo kwenye TUME) na sio hivyo tu hata Taasisi kutoka nje (ili mradi tu kurudisha Imani); Zaidi ya hapo unadhani alternative ni nini ? Kwa mtu kuingia Youtube kutaja fulani na fulani na watu kuwa Judge, Jury and Excutiooner na kumsulubu ?!!!Mkuu amka usingizini.
Walikuja na kikosi kazi
Walikuja na time ya haki jinai
Walikuja na maridhiano
Walikuja na 4R
Hayo yote wameyaweka pembeni, hakuna hata moja lililofanikiwa.
Hiyo unayoita kuunganisha pande zote ni kupoteza muda, sababu watatafutwa vyama kaa tlp, udp n.k, alafu watatafutwa masheikh na wachungaji machawa alafu mtaambiwa tumeskiliza Makundi yote. Baada ya hapo business as usual. Amka