Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Amani kwa Samia ni Watanganyika kukubali kutekwa,kuteswa na kuuawawa na Watanganyika wote kukaa kimya na kuipongeza serikali kama machawa.Mlimuua Magufuli.
Sasa mnamuua Polepole.
Baadae mnakuja kulalamika watu wanachafua amani
????Agustino Polepole, kaka yake Humphrey Polepole, amethibitisha kuwa ndugu yake ametekwa na mtu anayefahamika kama Mafwele usiku wa kuamkia leo Oktoba 6, 2025.
Soma: Humphrey Polepole ametekwa leo asubuhi Oktoba 6
Unawatafutia watu Ban kwa lazima?Mange na Maria wanaweza kuwa ndo wamemteka ili kufanikisha agenda zao.
🚮🚮🚮🚮🚮Kama ni kweli nimesikitishwa ila Polepole nae anawachafua watu alio nao sehemu moja alikuwa hafikirii? Halafu pia Polepole alishakuwa chambo kwa hawa wanaharakati. Kumteka Polepole na kuisingizia serikali lazima iwape kiki wanaharakati uchwara. Mange na Maria wanaweza kuwa ndo wamemteka ili kufanikisha agenda zao.
Hakuna kitu kama hiko, JK mwisho wake umewadia..hakuna mtu hatari km, Mtoto wa MJINI. ukimchafua umepotea.
»don't mess with him.
Nitolee upumbavu wako hapaUnawatafutia watu Ban kwa lazima?
Hii haijakaa sawa nasubiri kusikia Abdul kachukuliwa km hivyo tarehe 29Nitolee upumbavu wako hapa
Subiri tuoneIle nyumba kweli haina cctv? au nyumba za jirani ambazo wanaweka cctv nje?