Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Mwenyewe nimeshangaa, ndo maana nahhisi Kuna uongo hapaHuyu kaka nae ni fala. unatoaje Siri kuwa Mdogo wako ana chip mwilini? Watamchimbachinba mpaka waitoe
Mwenyewe nimeshangaa, ndo maana nahhisi Kuna uongo hapaHuyu kaka nae ni fala. unatoaje Siri kuwa Mdogo wako ana chip mwilini? Watamchimbachinba mpaka waitoe
TakatakaKama ni kweli nimesikitishwa ila Polepole nae anawachafua watu alio nao sehemu moja alikuwa hafikirii? Halafu pia Polepole alishakuwa chambo kwa hawa wanaharakati. Kumteka Polepole na kuisingizia serikali lazima iwape kiki wanaharakati uchwara. Mange na Maria wanaweza kuwa ndo wamemteka ili kufanikisha agenda zao.
Kaokotwa kizembe sana Rtrd Ambassador ameshindwa kuwa na Bomba?Agustino Polepole, ambaye ni kaka yake Humphrey Polepole, amethibitisha kuwa ndugu yake ametekwa na kumtaja afisa wa polisi aitwaye Mafwele, ZCO wa Jeshi la Polisi Tanzania, kuwa anahusishwa na tukio hilo usiku wa kuamkia leo Oktoba 6, 2025.
Aidha, Agustino ameeleza kuwa mdogo wake ana kifaa maalumu (chipu) mwilini kinachomwezesha kufuatiliwa, hivyo wanaendelea kupata taarifa za mahali alipopelekwa na watekaji.
Soma: Humphrey Polepole ametekwa leo asubuhi Oktoba 6
🤔Mimi siamini its mind game muache mambo ya caot tesha
********!Kama ni kweli nimesikitishwa ila Polepole nae anawachafua watu alio nao sehemu moja alikuwa hafikirii? Halafu pia Polepole alishakuwa chambo kwa hawa wanaharakati. Kumteka Polepole na kuisingizia serikali lazima iwape kiki wanaharakati uchwara. Mange na Maria wanaweza kuwa ndo wamemteka ili kufanikisha agenda zao.
Kwanini sio Mama yako ndio Mtekaji ?Kama ni kweli nimesikitishwa ila Polepole nae anawachafua watu alio nao sehemu moja alikuwa hafikirii? Halafu pia Polepole alishakuwa chambo kwa hawa wanaharakati. Kumteka Polepole na kuisingizia serikali lazima iwape kiki wanaharakati uchwara. Mange na Maria wanaweza kuwa ndo wamemteka ili kufanikisha agenda zao.
Cctv ndio itafanya niniIle nyumba kweli haina cctv? au nyumba za jirani ambazo wanaweka cctv nje?
Au nae ni walewale🥹CDF, tafadhali! Fuata ushauri wa Captain Tesha. Huku tunakopelekwa na Wahuni, siko wananchi tunapenda kwenda. Turudisheni kwenye nchi yetu tafadhali Afande CDF.
Kama ni kweli Pole Pole atoke akanushe....huyu Boya(Kakake) nae ni wa kushughulikiaMind Game watu wahame CaptTesha twende pole pole......
MamaSamia2025 hizi ndio akili zako??Kama ni kweli nimesikitishwa ila Polepole nae anawachafua watu alio nao sehemu moja alikuwa hafikirii? Halafu pia Polepole alishakuwa chambo kwa hawa wanaharakati. Kumteka Polepole na kuisingizia serikali lazima iwape kiki wanaharakati uchwara. Mange na Maria wanaweza kuwa ndo wamemteka ili kufanikisha agenda zao.
Alivyosema ana chipu nikajua uongo huoMind Game watu wahame CaptTesha twende pole pole......
Yote tumkabidhi tu mrembo vale Nafaka ni yeye tu ndie amebakia mwenye uwezo wa kuikomboa nchi.Kama ni kweli nimesikitishwa ila Polepole nae anawachafua watu alio nao sehemu moja alikuwa hafikirii? Halafu pia Polepole alishakuwa chambo kwa hawa wanaharakati. Kumteka Polepole na kuisingizia serikali lazima iwape kiki wanaharakati uchwara. Mange na Maria wanaweza kuwa ndo wamemteka ili kufanikisha agenda zao.
Ostadhi Hassan Ali shahidi wa Uislamu umepatwa na nini kwaani?Yote tumkabidhi tu mrembo vale Nafaka ni yeye tu ndie amebakia mwenye uwezo wa kuikomboa nchi.
View attachment 3484364
adriz The Consigliere Mpetde babukijana
Ndo maana nimekomaa zangu mtoni nikitawadha rindaz za vikongwe. Nikimaliza shift yangu naingia supermarket chukua makopo kadhaa za larger na sigara kama nimeishiwa faster ghetto. Kama kuna uefa na laliga namfuatilia dogo Yamal. Piga msuba wangu kabla ya kulala yani unafeel dunia ni yako. Simple peaceful life. Japo siko kwenye ndoa watoto ni nao. Kuna haja gani ya kusumbuka maamae.Duuh.
Hii nchi ilipofika ni zaidi ya vita.
Dogo unawaza kutembeza ukuni tu kwa warembo unaacha nchi ikiteketea.Yote tumkabidhi tu mrembo vale Nafaka ni yeye tu ndie amebakia mwenye uwezo wa kuikomboa nchi.
View attachment 3484364
adriz The Consigliere Mpetde babukijana