Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,253
- 2,166
Huyo kaka yake amemchoma pole pole...Kitendo cha kumtaja tu Mafwele, huyo bro ake na Polepole usalama wake nae ni mdogo!!
Huyo kaka yake amemchoma pole pole...Kitendo cha kumtaja tu Mafwele, huyo bro ake na Polepole usalama wake nae ni mdogo!!
Mafwele yaan polisi wanajifanya hawamjui Mafwele? Na ametajwa yeye ndie aliemchukua
Hiki nini? Huyu Chala ndio engineer who said that?
Kunguru mwoga anaishi miaka mingiSawa kunguru
Huyu mtoto utakuwa umempigia sana nyetoYote tumkabidhi tu mrembo vale Nafaka ni yeye tu ndie amebakia mwenye uwezo wa kuikomboa nchi.
View attachment 3484364
adriz The Consigliere Mpetde babukijana
Mafwele amrudishe HP akiwa anapumua akimuua na yeye atauliwa tu hii haikubariki kabisa enough is enoughKwahiyo unataka kusema nini?
Wewe ni mnduku kabisaKama ni kweli nimesikitishwa ila Polepole nae anawachafua watu alio nao sehemu moja alikuwa hafikirii? Halafu pia Polepole alishakuwa chambo kwa hawa wanaharakati. Kumteka Polepole na kuisingizia serikali lazima iwape kiki wanaharakati uchwara. Mange na Maria wanaweza kuwa ndo wamemteka ili kufanikisha agenda zao.
Ukisema umefurahi utapungukiwa nini?Kama ni kweli nimesikitishwa ila Polepole nae anawachafua watu alio nao sehemu moja alikuwa hafikirii? Halafu pia Polepole alishakuwa chambo kwa hawa wanaharakati. Kumteka Polepole na kuisingizia serikali lazima iwape kiki wanaharakati uchwara. Mange na Maria wanaweza kuwa ndo wamemteka ili kufanikisha agenda zao.