comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
ni kweli kabisa mange na sativa na maria ndio waliowateka wote, wakina soka,mdude,Ali kibao,Mawazo,Mbise na wengineo wasiopunguza 250 ni kweli wametekwa na maria na mange!Kama ni kweli nimesikitishwa ila Polepole nae anawachafua watu alio nao sehemu moja alikuwa hafikirii? Halafu pia Polepole alishakuwa chambo kwa hawa wanaharakati. Kumteka Polepole na kuisingizia serikali lazima iwape kiki wanaharakati uchwara. Mange na Maria wanaweza kuwa ndo wamemteka ili kufanikisha agenda zao.
Hawa maria na mange watu wabaya sana aisee