Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Seran nakuita binti kiziwiHuyu Agustino ni mzee wa vituko show. Analeta mzaha kwenye mambo serious na hana uchungu na nduguye.
Ana act kama msela mavi flani alopokaye baada ya ku sizi mjani.
Harafu ndio kanali, imagineHuyu Agustino ni mzee wa vituko show. Analeta mzaha kwenye mambo serious na hana uchungu na nduguye.
Ana act kama msela mavi flani alopokaye baada ya ku sizi mjani.
Sure, anaanza kuwa takataka,.mwanasesere. Mimeona clip yake mpaka nikasikia kinyaaMafwele kweli limemkuta jambo...
Kwani yeye ni nani asifikiwe?
Kulikuwa kuna safisha safisha hadi ndani ya jeshi baada ya kuonekana kuna jw hawailewi serikali kwenye sakata lakuelekea uchaguzi mkuu , na kuna clip moja Mafwele alisema 'Tesha ni muhuni na amekimbia nchi' na akasema kuna jw wengine waliwakamata... alizungumzia masuala ya hatari ikiwemo kuwatoa uhai.
Hivyo kuna uwezekano alihusika kwenye kamatakamata ya jw ambao walibainika kuwa kinyume na serikali , na pengine kuwaadhibu n.k... maana anakiherehere sana..
Sasa kama alikuwa target ya wengi , kwanini wasimuweke mtu kati...
Yaani wamuweke Mtu Kati then wamuachie akiwa hai you can't be seriousMafwele kweli limemkuta jambo...
Kwani yeye ni nani asifikiwe?
Kulikuwa kuna safisha safisha hadi ndani ya jeshi baada ya kuonekana kuna jw hawailewi serikali kwenye sakata lakuelekea uchaguzi mkuu , na kuna clip moja Mafwele alisema 'Tesha ni muhuni na amekimbia nchi' na akasema kuna jw wengine waliwakamata... alizungumzia masuala ya hatari ikiwemo kuwatoa uhai.
Hivyo kuna uwezekano alihusika kwenye kamatakamata ya jw ambao walibainika kuwa kinyume na serikali , na pengine kuwaadhibu n.k... maana anakiherehere sana..
Sasa kama alikuwa target ya wengi , kwanini wasimuweke mtu kati...
Mimi niliwaonya kuwa huyu msanii tu tangu aliposema Polepole ana chip.Kama angekuwa amemkamata Mafwele sidhani kama mtu serious anamkamata na kumwachiai. Huo ni uongo wa mchana.
Mtu ambaye amemteka ndugu yako au kamuua. Unamkata unamwachia? Yaani unaona adhabu yake ni hiyo kama ni kweli? Ni uongo. Aanze kuwa serious.
Huyu bwana mdogo anaongea sana vitendo hamna. Wanajeshi hawapaswi kila siku kuongea ongea kama akina Lucas Mwashambwa. Wanapaswa kutenda halafu wanaongea kidogo. Maneno machache vitendo vingi.
Jamaa anatema sana mkwara lakini hatuoni vitendo. Mpaka najiuliza je naye anatumika kufubaza mambo au inakuaje? Mpaka sasa hatujapata majibu kabisa. Halafu anakuja kusema alipita Kigamboni na nyumba aliyopo ndugu yake anaifahamu. Halafu? Akamwacha humo humo?
Hivi yupo serious kweli? Au anafanya ucheshi? Aache ubwege sasa
Hivi kuna mwenye uhakika kama ni Kaka yake kweli?Mimi niliwaonya kuwa huyu msanii tu tangu aliposema Polepole ana chip.
psychological torture ni zaidi ya kifo...Yaani wamuweke Mtu Kati then wamuachie akiwa hai you can't be serious
ππ πππHivi kuna mwenye uhakika kama ni Kaka yake kweli?
Hilo sasa utabishana na mama yao.Hivi kuna mwenye uhakika kama ni Kaka yake kweli?
π―psychological torture ni zaidi ya kifo...
NimekujaSeran nakuita binti kiziwi
Kanal wa jeshi gani huyu mbona anakosa weledi na kuleta mzaha kwenye mambo serious?Harafu ndio kanali, imagine