The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 4,389
- 6,665
Jamaa naye alikuwa serikalini? Hili jina la kanal ni kweli kanal auHuyo anaonekana ana mtandao wa kutosha mdogo wake si alikuwa serikali kwa mda mrefu so anajuwana na watu wa kwenye system ndio maana anaongea hivyo....
Kesho narudi kwenye huu uzi muda kama huuKaka yake Humphrey Polepole, anayejitambulisha kama Kanali Augustino Polepole ametoa saa 24 kaka yake aachiwe au apelekwe Segerea kwa Mama yake, vinginevyo Kikwete, Ridhiwani, Samia, IGP na wengine waongeze ulinzi maana atalipa kisasi
Common sense inaniambia Polepole ni mdogo wake, ndugu yake. Wa damu.Sema mwamba nae anamikwalaaaa. Sasa yeye anamtaka polepole tu ila watanzania wengine waliotekwa simsikiii akiwaongelea Wala kuwatetea
red upo?Mafwale ni pathetic
Ibumex nipo Lamamared upo?
huamin kweny muda ? au unahis Bibi Mashavu alikurupuka kuua watu trh 29 octVitisho vya kitoto, hana lolote.
Unatoa vitisho ukiwa chumbani!!
Naamini ndani ya masaa hayo Polepole hataachiwa tuone atakachofanya.
poa tuu,, nimefurahi kukuona tenaIbumex nipo Lamama
Mambo
hii taarifa inatuonesha idadi ya wajinga , ndo kasema ila mshaanza hukumu , hamtak jipa muda kwanzaUsitoe vitisho kama huwezi kuvibackup.
Uwe unasoma na kuelewa.hii taarifa inatuonesha idadi ya wajinga , ndo kasema ila mshaanza hukumu , hamtak jipa muda kwanza
the same nimefurahi...ukoaje hukopoa tuu,, nimefurahi kukuona tena
Watu wana roho ngumu sana. Kwanini Mafwele na genge lake wasimrudishe Polepole kwa mama yake au wanasubiri hadi wauawe na huyu mtabe?Kaka yake Humphrey Polepole, anayejitambulisha kama Kanali Augustino Polepole ametoa saa 24 kaka yake aachiwe au apelekwe Segerea kwa Mama yake, vinginevyo Kikwete, Ridhiwani, Samia, IGP na wengine waongeze ulinzi maana atalipa kisasi
Not only pathetical but also lethalMafwale ni pathetic
Kwa kweli na wahenga wslisema maneno matupu hayavunji mfupa. Watanzania wengi tunamuhitaji Polepole pamoja na mapungufu yake ya awamu ya 5 nadhani familia pia hasa Mama yake anamuhitaji zaidiKaka yake Polepole huu uwe mkwala wa mwisho plz. Ushaongea sana sasa fanya vitendo.
Polepole aliuawa palepale chumbani walipomkuta baada ya kumpiga nyundo ya kichwa na kutawanya ubongo. The guy is no more. Mauaji yake ni kama yale ya Mdude. Na hawatakaa waupate mwili kamwe!Jamaa anapitia kipindi kigumu sana kisaikolojia, nilikuwa sijaangalia clip zake muda mrefu hivi nilivyomuona hapa ni dhahiri ana msongo mkubwa wa mawazo.
Mungu amsaidie Polepole aliko arudi tena uraiani japo nina mashaka makubwa na hilo kutokea.