Kaka yangu amechomwa Moto kwa kudhaniwa ni mwizi

Sasa mtu ana ulemavu wa akili, hata akiiba, inasaidia nini kumchoma moto ukizingatia hajui alitendalo?!!
 
Na wakati mwingine Ni wavuta bangi waliokubuhu wanawabandika Majina ya walemavu wa Akili.. Ana cheti Cha Daktari kuthibitisha ulemavu??

Sungusungu wa Mtaa husika wasimjue huyo Kaka yake??
Hivi huwa mnafatilia comment huyo ndugu yake ameenda mtaa ambao hajulikani
 
Na wakati mwingine Ni wavuta bangi waliokubuhu wanawabandika Majina ya walemavu wa Akili.. Ana cheti Cha Daktari kuthibitisha ulemavu??

Sungusungu wa Mtaa husika wasimjue huyo Kaka yake??
Sahii kabisa,
Sikuhizi na mateja nao wanaitwa walemavu wa akili.

Hii story Ni one-sided.

Mtoa mada angetaja exactly location,jina la mhusika.

Najua wapo wengi humu Huenda wanajua abc za tukio zima wangekuja kueleza ya kwao.

Nakumbuka Kuna kipind iliwahi kuletwa kesi na mdada mmoja analalama a hivyo hivyo ndugu yake kauwawa na sungusungu kule mburahati. Akataja mpk jina.

Bahat nzur wadau wanamjua vizur,
Kumbe kijana Ni kibaka sugu wa mtaa na watu kibao washampa pole Sana yule dada.

Can u imagine[emoji848]
 
Sasa mtu ana ulemavu wa akili, hata akiiba, inasaidia nini kumchoma moto ukizingatia hajui alitendalo?!!
Hivi mkuu umemkamata mwizi wako kabeba kitu chako, nyumban kwako usiku wa manane na humjui.

Hicho kipimo Cha akili unakipata wapi MDA huo?
 
Hivi huwa mnafatilia comment huyo ndugu yake ameenda mtaa ambao hajulikani
Hivi mkuu umemkamata mwizi wako kabeba kitu chako, nyumban kwako usiku wa manane na humjui.

Hicho kipimo Cha akili unakipata wapi MDA huo?

Hapo ningemshaur mtoa mada achukulie TU kifo Cha ndugu yake Ni ajali, haina haha ya kesi pale.
 
Waliofanya tukio ilo wanajulikana ni sungusungu na wananchi wengine, baadhi wamekamatwa wamepelekwa police lakini jioni wameachiwa huru wanadunda.[emoji15][emoji3064][emoji29][emoji29][emoji25]
 
Nasemaga humu tuache kujichukulia sheria mkononi jamani, tena hao ni sungusungu kabisa, hata kama mtu kaiba kweli, adhabu ya kuchoma mtu moto ni kali sana, haiendani na kosa hiko hata kidogo!!!
Mkuu,
Unawajua wezi au unawasikia?

Hivi mkuu ulishawahi bananishwa na wezi wakiwa katika kazi zao?

Wametumwa Kuja kuichukua chao?

Mwizi akiwa KAZIni suala la kukutoa uhai achukue anachotaka Ni dkk sifuri.

Binafsi siwezi kua na huruma na mwizi, WAUWAWE TU[emoji3525]
 
Waliofanya tukio ilo wanajulikana ni sungusungu na wananchi wengine, baadhi wamekamatwa wamepelekwa police lakini jioni wameachiwa huru wanadunda.[emoji15][emoji3064][emoji29][emoji29][emoji25]
Kuna walakini,
Uyo ndugu yake Ni kibaka sugu.

Hamna kesi pale, ndo maana polisi hawataki kujisumbua.

Serikali inawaamini Sana viongozi wa mtaa maana wa ndo wanawajua vibaka na wanaishi nao.

Wakisema huyu hapana, na wao wanasema hapana.

Inakua imeisha hivyo
 
Kaka (marehemu) anaitwa isack mwageni anaishi mbande magengeni,ameenda kuuliwa kitongoji cha mbande rufu mwenyekiti wa huko anaitwa sadiki.
Nikuwekee picha ya marehemu ufananinishe na wagonjwa wengine wa downs syndrome wanavyokuwa wanafanana?
 
Kaka yule jamaa anaebeba mchepuko wako inabdi ukamuitie mwizii...![emoji3]
 
Naunga mkono hoja. Uzembe na wakulaumiwa na hao ndugu wanaomtunza. Kama wangekuwa makini yote haya yasingetokea
 
Hivi we jamaa unaishi mazingira gani tofauti na sisi ambayo yanakufanya uwe mpofu usione mapungufu ya watanzania kwenye ishu za wizi?

Kuna jamaa mtaani alikuwa albino, huyo jamaa alikuwa kibopa akikuta kichochoroni anakutia ngeta anasepa na kibunda

Ukiwa mbishi ukathubutu kumkimbiza ili unusuru mali zako anaanza kupiga makelele "jamani mimi albino anataka kunikata viungo vyangu wananchi njooni mnisaidie"

Hapo sasa inakubidi uachane naye ukubali kuibiwa ili kunusuru maisha yako kwasababu wakija hao wananchi hawatakuwa na muda wa kuhoji zaidi ya kukushushia kipigo

Kingine

Mimi nilishawahi kushuhudia mtu akifia mikononi mwangu baada ya kupigwa kwa kuhisiwa mwizi na wakati haikuwa kweli.

Niliweka na uzi hapa Thread 'Tukio lililotokea mwezi uliopita linanithibitishia kuwa "binadamu wote ni sawa ila hatupo sawasawa"' Tukio lililotokea mwezi uliopita linanithibitishia kuwa "binadamu wote ni sawa ila hatupo sawasawa"

Hata mjini siku hizi mkipishana kauli kidogo na mtu akikuitia mwizi lazima uchakae, neno mwizi ni lina tafsiri mpya "piga bila kuuliza na ukiua itahesabika ni wananchi wenye hasira kali"

Nilishawahi kuchomolewa 30k kariakoo, lakini nilipomuona mwizi niliamua kukomaa naye mwenyewe mpaka nikafanikisha kuzirudisha

Wapo walionishauri niite mwizi ili asifike mbali lakini nikawajibu endapo mwizi huyo angekufa kwa kupigwa basi hatia ningeiona ipo kwangu na ningekosa raha kwa kusababisha mtu kufa kwa shilingi 30k
 
Mkuu,
sio kwamba nna roho mbaya, katili au nnachuki binafsi na mtoa mada.

Naongea Kama mhanga sugu wa wezi, vibaka na majambazi.

Kiuhalisia wezi popote watakapokamatwa WAUWAWE TU Ili vijana wajifunze kujipatia kipato halali.

Yaani tumeshachoka[emoji3525]
 
Hivi mkuu umemkamata mwizi wako kabeba kitu chako, nyumban kwako usiku wa manane na humjui.

Hicho kipimo Cha akili unakipata wapi MDA huo?

Hapo ningemshaur mtoa mada achukulie TU kifo Cha ndugu yake Ni ajali, haina haha ya kesi pale.
Mkuu ulikuwepo eneo la tukio why udhani alikamatwa na kitu cha wizi
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…