DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Weka na picha ya marehemu tumuone mkuu.Kaka (marehemu) anaitwa isack mwageni anaishi mbande magengeni,ameenda kuuliwa kitongoji cha mbande rufu mwenyekiti wa huko anaitwa sadiki.
Nikuwekee picha ya marehemu ufananinishe na wagonjwa wengine wa downs syndrome wanavyokuwa wanafanana?