Kaka yangu amechomwa Moto kwa kudhaniwa ni mwizi

Kaka (marehemu) anaitwa isack mwageni anaishi mbande magengeni,ameenda kuuliwa kitongoji cha mbande rufu mwenyekiti wa huko anaitwa sadiki.
Nikuwekee picha ya marehemu ufananinishe na wagonjwa wengine wa downs syndrome wanavyokuwa wanafanana?
Weka na picha ya marehemu tumuone mkuu.
 
Wewe juzi umetoka Kuandika ishu ya kumsingizia kesi Mchepuko wako ili afungwe sasa kama Polisi wanafunga watu kwa kesi hizo je inashindikanaje Raia kuua kwa style hiyo????


Makosa kama haya yanatokea sana wapo wanaopigwa na kuuliwa kisa tu kafananishwa na mwizi... mwingine kashindwa kujieleza sababu kakutwa eneo la tukio la wizi bhasi kesi anapewa yeye na mwizi kashakimbia...!! Kufa kwa style hii kupo sana tuu so Jamaa asishambuliwe as if haya mambo hayapo kweny Jamii.
 
Hata kama ni kweli ni mwizi,hivyo vitu vinathamani kuliko uhai??
 
Naunga mkono hoja
Niliwahi kuibiwa na wahuni walioshawishiana na ndugu na ushahidi ukawa wazii lakini hakuna walichofanya. Zaidi baba wa wale wahuni alikuwa kijana wa mjini akaenda polisi akaongea na mkuu wa kituo file likabadilishwa mpelelezi bila sababu na kazi ikaishia hapo nkapoteza mali zangu.
 
Kaka,
Hicho kipimo Cha kumpima mtu huo utimamu wake wa akili usiku wa manane na nmeshamkamata ready handled na mali yangu kaniibia nakipata wapi?

Hebu vingine jiongeze mwnyw, ungelikua wee unafanyaje?
Ndo maana kuna police na mahakama mzee.,sasa umemuua mtu kama huyo,next time unakuja kuskia ni mginjwa akili..utakuwa at peace kweli??hutajutia uamuzi uliofanya?
 
Mkuu,
Stori ya mleta mada ingeletwa na mtu Baki angalau ingekua na ushawishi wa Aina flan flani ktk akili zetu.

Kesi ya kwako wewe na ya huyu ni tofauti kabisa

Uyu katika uzi wake haina mahali kasema kaenda kuuwawa mtaa mwngn,

hili la mtaa mwngn kaliingiza Katikati baada ya kumbana khs viongozi wa mtaa.

Hizi kesi za kuletwa na ndugu wa marehemu vibaka zimekua Ni one side Sana kutia huruma zangu kwao.

Nnachojua,
Hakuna ndugu Wala mzazi anaweza kufurahia mwanae ashughulikiwe hata Kama kweli katenda kosa. Iyo iko hivyo naturally.

Kwaiyo kwakua Hii stori kaileta ndugu wa marehemu, afu hoja zake Ni za kuunga unga.

akili yangu inanambia kabisa marehemu alikua mwizi TU.

Otherwise ithibitike vinginevyo
 
Good
 
Kama mnajua anatatizo la akili lawama ziende kwa waangalizi wake na sio waliomshughulikia

Ukikutwa eneo la tukio ukiwa ready handled na Mali ya mtu.

Aisee pale Bila ya cheti Cha daktari kwenye walet kuthibitisha kua una ugonjwa wa akili Ni sahii kabisa kupigwa kibiriti.

Vinginevyo,
Mlitakiwa mtoa taarifa mapema jamii itambue kua inaishi na mlemavu wa akili.

Kifo Cha ndugu yenu Ni uzembe wenu wenyewe.
 

Mkuu hawa wanaojiita walinzi wetu wakipewa hela wanamuachia mhalifu hata kama ameuwa mtaa mzima they don’t give a https://jamii.app/JFUserGuide
Hawa wanaoachia watu nao ni ku deal nao nje tu
 
Akipata hiyo huruma toka kwetu inamsaidia nini??
Kaleta Uzi uku ili iweje sasa?

Au uku sikuhizi kimekua kituo Cha polisi kumshughulikia jinai Kama hizo?

Polisi wamemkataa ndo maana kaja uku kutafuta huruma[emoji3525]
 
Ndo maana kuna police na mahakama mzee.,sasa umemuua mtu kama huyo,next time unakuja kuskia ni mginjwa akili..utakuwa at peace kweli??hutajutia uamuzi uliofanya?
Lawama ziwaendee hao waangalizi wake,

Kifo Cha ndugu wa mtoa mada atulie na achukulie Kama Ni ajali Kama ambavyo uyo ndugu yake mlemavu angegongwa na gari barabarani.
 
Jf sasa siyo rafiki, kasema ndugu yake alikuwa mlemavu wa akili, mbona tunalazimisha kuwa alikuwa mwizi.


Miaka kama nane iliyopita kaka mmoja ametoka kazini anakatisha mabibo akaitiwa mwizi, bahati nzuri alikuwa anajua nyumba ya mtu ndo kuruka ukuta ikawa pona yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…