#COVID19 Kaka yangu amefariki kwa ugonjwa wa CORONA

#COVID19 Kaka yangu amefariki kwa ugonjwa wa CORONA

kwan ukichanjwa huuguwi? na balakoa huvai? na je huambukiz? maana kama nilisikia hata kama umechanjwa lazima uvae barakoa na kama kuambukizwa utaamubukzwa tu!!sasa kuna maana gan ya kuchanjwa,,, off couse ni hiari ya mtu!!
[emoji23][emoji23][emoji23] madalali wa chanjo hawapendi kusikia hii!!

Wanataka udungwe michanjo basii.... ilimradi wao washamegewa burungutu na mabeberu!

Ukijifia huko au kuwa lizombi shauri yako!!
 
Naunga mkono hoja kama taifa tungeendelea kuwa na msimamo ule ule coz wagonjwa walikuwepo na tulikuwa tukijiuguza nyumbani na tunarudi uraiani sasa angalia tulivyoanza kuishi kwa mihemko madhara yake ndio haya
Inategemea na unavyoumwa.kama ukifikia stage ya kupumua kwa shida solution ni kwenda hospitali kupatiwa oxygen. Inategema na unavyoumwa
 
Pole sana ndugu tuliobaki tuendelee kuchukua tahadhari kwa nguvu zaidi!
 
Kaka yangu kafariki jioni hii kwa covid 19 hospital ya Bugando Mwanza hakika ni majonzi makubwa sana.

Alifikishwa hapo kwa matatizo ya uchovu tu na kwenda kucheki na hakupelekwa na mtu alienda akiendesha gari yake mwenyewe ila badae walimpima na kukuta ana corona akawekwa pale toka juzi Leo kazidiwa mchana Leo na jioni amelala akiwa bado ajawekwa kwenye oxygen.

Hakika ni majonzi makubwa.

He was a really man ameacha watoto wadogo na mke very sad indeed.
Chanjo tayari mkuu
 
wagonjwa wa,
1.KISUKARI
2.PRESHA
3.MOYO
4.SARATANI
5.UKIMWI
wagonjwa wa maradhi hayo wanapaswa wachue tahadhari sana maana Corona itatumaliza sana.
 
Back
Top Bottom