Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Huyu mdudu ni kama zimwi mkuu, anapiga mahali anapotaka yeye kwa wakati unaomfaa yeye...Mnakufa kwa hofu zenu wajinga!
Machinga wa Kariakoo, Makondakta, bodaboda wangekuwa wanapukutika kama wangekuwa na mihofu kama yenu.
Yote kwa yote ni kuomba usikutane naye, na ukikutana naye basi asikupeleke akhera...