Kaka yangu anaelekea kuoa bomu, nimnusuru vipi?

Halafu ukute dada wa watu kabadilika kweli. Na bro amevutiwa na show yake...why kuwakatili?
 

Wanawake wengi wanafanya hao kutokana na changamoto za kimaisha mzee kama kapata mtu wa kumsitili muache asitilike mwenzio pengine ata wewe mke wako Aweza kua na dizain iyo mkuu
 
La kushindwa kujizuia kumkojolea mke wa mtu🤔
Hahaha mbona hilo sio tatizo sii kitu cha kawaida tuu ama nyie hampendi kushare? Mke wangu mie mbona nampa uhuru wa kuonja de libolo zingine
 
Kama binti walipima hana ngoma aisee bhasi usiseme nenoo maana kila mtu ana past yake mkuu usimuhukumuu maana hat huyo wako amini kuna mtu alishawahi mnunua uzuri ni hujui past yake na yeye kaamua kukuficha muache bro ale maisha
 
Me navoona we endelea tu na mambo yako achana na ya watu
 
Mimi nimezaliwa na kaka yangu wawili tumbo moja tumezaliwa kwa kufuatana utasema mapacha so kitu kama hicho siwezi mficha

Ndugu wengine wapambane na hali zao hata wakioa malayaa
 
Utakuta umemfananisha na pacha wake ukadhani ndiye, kumbe siyo. Ila kama ameamua kutulia kwanini usinyamaze kimya, labda huyo ndiye wife material wake mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…