Kaka yangu anaelekea kuoa bomu, nimnusuru vipi?

Wapo wanawake wanaofanya umalaya ila wakipata mtu sahihi hubadilika na kuwa wema , tuoe wanawake tuwabadili vile tunavyotaka sisi, ukiwa kama mwanaume mwenye asli ya utawala akili na maarifa unauwezo wakuamua mkeo aweje , tatzo letu vijana wanawake ndo wanaamua tuweje, wengi tumepoteza uanaume tumebaki kulalamika kma wanawake, vichangamoto vya kipuuzi kama mkeo kugongwa na mwngne tunalialia tu , mkeo kakuzalia mtoto sio wako tunaomba ushauri hii ni dharau kwamba bla yeye hauwezi kuishi?
 
Atakuwa anakukumbuka sana ni vile anakupiga chenga ya mwili.

Waarabu wa pemba mnajuana kwa vilemba.

Kama yeye hastahili kuolewa, nawe pia, hustahili kuoa.
 
Kama ndio hivi, natusiwalaumu vijana wakikataa kuoa. Tumetoka mbali sana mpaka sasa tumefikia hatua hii[emoji23][emoji23][emoji23]. Kila kitu kibaya kilichomtokea yule basi na huyu lazima kitamtokea, [emoji23][emoji23][emoji23] dah! Itoshe tu kusema, hapa tulipofikia ndoa haina maana bali tunaita ni harusi ya siku moja ila sikwafikra hizi.
 
Mwanamke yeyeto ambae ujamkuta bikira usitake kujua taarifa zake za nyuma
 
Eti anaoa bomu mbona wewe ulikula na wakati unakula ulikoj o lea kwa raha zote hukuona unakoj o lea bomu?
Kwaujumla tetea vyote ila siyo kwenye kukosea kuoa. Tusichanganye starehe na ndoa, ndio maana ndoa huja kuvunjika. Kwaujumla ni kosa kwamaana kingekuwa kitu kisicho nashida usingeshauri mtu kukaa kimya. Siunataka utulivu wa ndoa, yaache yote yatajwe, kama mwanaume kampenda huyo mdada atamuoa tu, sasa kwanini ufiche. Kwaujumla yakigundulika huko mbeleni, kila kitu kitakufa hata walichojenga kitapukutika.

Mwanamke anakuwa concerned na future ya mwanaume ila mwanaume anakuwa concerned na the past ya mdada husika. Hivyo kama mdada hajafichwa anayotaka kuyajua ili aweze kumuamini huyo mwanaume vivyohivyo usimnyime huyo meanaume atakayokuyajua ili kumuamini huyo mwanamke. Kama ipo ipo tu, hunahaja ya kutetea au kuficha uovu wa nyuma kama unaamini mapenzi hayo ni ya kweli. Mwisho, heshima kwa kaka yake ameijali sana, usifikiri ni simple.
 
Huwezi mbadili mwenzako tabia bali ni maamuzi yako, kwamawazo hayo watu wameoa na wadada kuolewa na watu wakidhani watawabadilisha. It never happens, kuongoza haimaanishi kila mtu kwenye safari atakuwa na same behaviour lahasha bali niwewe kuzingatia wote mnafika vision mnayoshare.

Hivyo niwewe kuzivumilia hizo tabia au achaneni bali kusema kumbadilisha, utapoteza muda wako na pia unaonyesha hujamkubali mwenzako kama ulivyo. No one is perfect, hivyo usijaribu kumbadilisha tabia mwache afanye mwenyewe ila wewe hakikisha mnafikia vision au the finish line mnayoitaka. Mkishindwana, achaneni, hamkuchaguana ilivyo sahihi.
 
kama binti walipima hana ngoma aisee bhasi usiseme nenoo maana kila mtu ana past yake mkuu usimuhukumuu maana hat huyo wako amini kuna mtu alishawahi mnunua uzuri ni hujui past yake na yeye kaamua kukuficha muache bro ale maisha
Kama ni kueleza ukweli, wala hajamhukumu. Siungani na yeye kwamba eti huyo dada ni bomu ila usifiche ukweli, utagundulika tu. The past haunts very bad, and the future depresses very hardly.
 
Kwaujumla kama mtu kabadilika, kamwe hawezi kuficha ukweli maana matendo yako yatajionyesha. Sasa jamii inatetea kuficha uovu ili tu ndoa ifungwe [emoji23][emoji23]. Sasa kama mtu kabadilika kinachoogopesha kusema ukweli ni nini. Halafu tunalaumu DNA tests za TZ kuwa hata kama mtoto siwako watakuandikia tu mtoto ni wako lakini tunapotetea madogo kama haya tunasema sisi tunatenda wema, Tanzania tunavituko kweli[emoji23][emoji23][emoji23]. Unataka ndoa based on honesty na mwanaume aliyeridhia kweli kujenga familia basi yote hayo yaseme, sikakupenda na wewe umebadilika basi hunalalokuhofu.
 
Unajifanya mjuaji sanaaa lakini hata hujui
 
huenda kweli kabadilika, nani ajuaye aliyemuoa!

mimi hua nasema ishi uyaone, sio kua uyaone!

πŸ˜… umeniacha hoi hapo mwishoni:

"Na kama watafanikisha, nahisi kuna siku nitapasha kiporo tu, kwa sababu namfahamu fika huyu binti."

sasa na wewe si shida na tishio la amani kwa kaka yako mkuu; hapo atakuwa na majanga mawili ya kudili yao!

hii ngumu kushauri ila kama wewe ni fisi, bora umtonye ili baadaye isije ikawa balaa zaidi! πŸ˜…
 
Mwenzio amebadilika amefuta yote ya nyuma. tena huyo anaweza kuwa mke mwema kwani hakuna kitakachombabaisha mbeleni ndio maana kaaamua kutulia
 
Pambana tu na maisha yako; utamu alioupata kaka ndio umempa uamuzi wa huyo kumfanya kuwa mke.
 
Kijana acha uhuni na unaa,dada amebadili tabia acha kaka yako afaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…