Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SahihiShetani akizeeka anakuwa malaika
Kama ndio hivi, natusiwalaumu vijana wakikataa kuoa. Tumetoka mbali sana mpaka sasa tumefikia hatua hii[emoji23][emoji23][emoji23]. Kila kitu kibaya kilichomtokea yule basi na huyu lazima kitamtokea, [emoji23][emoji23][emoji23] dah! Itoshe tu kusema, hapa tulipofikia ndoa haina maana bali tunaita ni harusi ya siku moja ila sikwafikra hizi.Sure aache kihere here hata yeye sasa hivi kuna mtu anamgonga demu wake huku yeye baadae atamuoa kwa mbwembwe.
Ufike wakati tukubaki kuwa hakuna mtu wa peke yako.
Ataoa bikra lkn atagingwa ndani ya ndoa na hii inauma zaidi.
Bora agingwe gingwe akija kwangu atulie
Poa mshauri bro asimuoe huyo manzi. Ampige chini ili akuoe wewe.
Kwaujumla tetea vyote ila siyo kwenye kukosea kuoa. Tusichanganye starehe na ndoa, ndio maana ndoa huja kuvunjika. Kwaujumla ni kosa kwamaana kingekuwa kitu kisicho nashida usingeshauri mtu kukaa kimya. Siunataka utulivu wa ndoa, yaache yote yatajwe, kama mwanaume kampenda huyo mdada atamuoa tu, sasa kwanini ufiche. Kwaujumla yakigundulika huko mbeleni, kila kitu kitakufa hata walichojenga kitapukutika.Eti anaoa bomu mbona wewe ulikula na wakati unakula ulikoj o lea kwa raha zote hukuona unakoj o lea bomu?
Huwezi mbadili mwenzako tabia bali ni maamuzi yako, kwamawazo hayo watu wameoa na wadada kuolewa na watu wakidhani watawabadilisha. It never happens, kuongoza haimaanishi kila mtu kwenye safari atakuwa na same behaviour lahasha bali niwewe kuzingatia wote mnafika vision mnayoshare.wapo wanawake wanaofanya umalaya ila wakipata mtu sahihi hubadilika na kuwa wema , tuoe wanawake tuwabadili vile tunavyotaka sisi, ukiwa kama mwanaume mwenye asli ya utawala akili na maarifa unauwezo wakuamua mkeo aweje , tatzo letu vijana wanawake ndo wanaamua tuweje, wengi tumepoteza uanaume tumebaki kulalamika kma wanawake, vichangamoto vya kipuuzi kama mkeo kugongwa na mwngne tunalialia tu , mkeo kakuzalia mtoto sio wako tunaomba ushauri hii ni dharau kwamba bla yeye hauwezi kuishi?
Kama ni kueleza ukweli, wala hajamhukumu. Siungani na yeye kwamba eti huyo dada ni bomu ila usifiche ukweli, utagundulika tu. The past haunts very bad, and the future depresses very hardly.kama binti walipima hana ngoma aisee bhasi usiseme nenoo maana kila mtu ana past yake mkuu usimuhukumuu maana hat huyo wako amini kuna mtu alishawahi mnunua uzuri ni hujui past yake na yeye kaamua kukuficha muache bro ale maisha
Unajifanya mjuaji sanaaa lakini hata hujuiHuwezi mbadili mwenzako tabia bali ni maamuzi yako, kwamawazo hayo watu wameoa na wadada kuolewa na watu wakidhani watawabadilisha. It never happens, kuongoza haimaanishi kila mtu kwenye safari atakuwa na same behaviour lahasha bali niwewe kuzingatia wote mnafika vision mnayoshare. Hivyo niwewe kuzivumilia hizo tabia au achaneni bali kusema kumbadilisha, utapoteza muda wako na pia unaonyesha hujamkubali mwenzako kama ulivyo. No one is perfect, hivyo usijaribu kumbadilisha tabia mwache afanye mwenyewe ila wewe hakikisha mnafikia vision au the finish line mnayoitaka. Mkishindwana, achaneni, hamkuchaguana ilivyo sahihi.
😂😂😂 sawa mkuu!Unajifanya mjuaji sanaaa lakini hata hujui
Kijana acha uhuni na unaa,dada amebadili tabia acha kaka yako afaidi.Huyu mwanamke nimemfahamu mwaka jana mwezi wa pili jijini Dar. Kila siku nilimkuta kwenye bar X yenye jina kubwa tu hapa Dar. Hakuwa mhudumu, bali alipretend kuwa mteja, kiuhalisia alikuwa anauza japo kwa kutumia akili pana sana! Alikaa kwenye moja ya meza mle bar akiwa katika mavazi na mikao ya kimtego huku vidole vyake vyenye kucha ndefu za kizungu vikibofya screen ya simu yake, ndipo ungelijitokeza na kuanza mazungumzo naye, ungempatia pesa si chini ya 30k na bia za kumlewesha, kiulaini ungevuta chombo guest, maana zilikuwa mle mle kwa hotel. Kusema ukweli, hata mimi mwenyewe niliwahi kumchakata mara mbili tena kwa kukesha naye usiku kucha. Hakika anayajua mauno, anaijua miguno.
Mwezi wa saba mwaka huu nilienda kutembelea nyumbani Mwanza, ndipo kumkuta kaka yangu tayari kashafika. Safari hii alikuwa na binti mrembo asiye na mfano wa kufananishwa naye(yule yule binti). Nilipigwa butwaa mara ya kwanza nilipoonana nae, lakini licha ya kushangazwa kumkuta pale nyumbani, yeye binafsi hakunikumbuka kabisaa, wala kunivutia hata picha, tulisalimiana tu kibinadamu zaidi na ndipo dakika chache kaka yangu alinitambulisha kwa huyo binti. Ndipo ushemeji ukaanzia hapo. Nilithibitisha hili baada ya kuona hata mama yetu yuko serious kwenye mahusiano ya mwanae, huyu binti ndiye aliyekuwa anatupikia chakula pale nyumbani, hakika ni fundi pia wa mapishi jikoni.
Huyu binti anaonekana wazi kuwa tayari kashabadili mfumo wake wa kale wa maisha, kwa sasa ni mtu wa kusoma vijitabu vya ki Mungu Mungu i.e mnara wa mlinzi, kuangalia katuni sana na tamthiliya za star swahili. Simu yake haina password, pia yuko huru kuiacha sebuleni bila kuhofia chochote. Kuna siku nilikuwa nikimtazama na kumwongelesha kwa mtindo ule ambao niliutumia kipindi kile, ili ajigundue kuwa yeye ni nani aachane na kaka, lakini ndio kwanza hanikumbuki wala hakumbuki chochote.
Msaada wakuu, jinsi gani nitamnusuru kaka na huyu mwanamke? Shida sio kutafunwa na wanaume wengi, ila tatizo ni kuwa na mimi nishawahi kumtafuna mara mbili, tena kwa kumtangulizia pesa mbele! Nahisi namvua utu na heshima kaka yangu. Na kama watafanikisha, nahisi kuna siku nitapasha kiporo tu, kwa sababu namfahamu fika huyu binti.
Msaada tafadhari!
Ushauri wa watu wa vijijiniKama ni kweli usemayo basi jivike mabomu umueleze kaka yako kila kitu,nasisitiza tena kila kitu hata suala la kumchakata mueleze,yabaki maamuzi yake tu.