Kaka yangu anaelekea kuoa bomu, nimnusuru vipi?

Huyu mwanamke nimemfahamu mwaka jana mwezi wa pili jijini Dar. Kila siku nilimkuta kwenye bar X yenye jina kubwa tu hapa Dar. Hakuwa mhudumu, bali alipretend kuwa mteja, kiuhalisia alikuwa anauza japo kwa kutumia akili pana sana! Alikaa kwenye moja ya meza mle bar akiwa katika mavazi na mikao ya kimtego huku vidole vyake vyenye kucha ndefu za kizungu vikibofya screen ya simu yake, ndipo ungelijitokeza na kuanza mazungumzo naye, ungempatia pesa si chini ya 30k na bia za kumlewesha, kiulaini ungevuta chombo Guest, maake zilikuwa mle mle kwa hotel. Kusema ukweli, hata mimi mwenyewe niliwahi kumchakata mara mbili tena kwa kukesha naye usiku kucha. Hakika anayajua mauno, anaijua miguno.

Mwezi wa saba mwaka huu nilienda kutembelea nyumbani Mwanza, ndipo kumkuta kaka yangu tayari kashafika. Safari hii alikuwa na binti mrembo asiye na mfano wa kufananishwa naye (yule yule binti). Nilipigwa butwaa mara ya kwanza nilipoonana nae, lakini licha ya kushangazwa kumkuta pale nyumbani, yeye binafsi hakunikumbuka kabisaa, wala kunivutia hata picha, tulisalimiana tu kibinadamu zaidi na ndipo dakika chache kaka yangu alinitambulisha kwa huyo binti. Ndipo ushemeji ukaanzia hapo. Nilithibitisha hili baada ya kuona hata mama yetu yuko serious kwenye mahusiano ya mwanae, huyu binti ndiye aliyekuwa anatupikia chakula pale nyumbani, hakika ni fundi pia wa mapishi jikoni.

Huyu binti anaonekana wazi kuwa tayari kashabadili mfumo wake wa kale wa maisha, kwa sasa ni mtu wa kusoma vijitabu vya kimungu mungu i.e Mnara wa mlinzi, kuangalia katuni sana na tamthiliya za star swahili. Simu yake haina password, pia yuko huru kuiacha sebuleni bila kuhofia chochote. Kuna siku nilikuwa nikimtazama na kumwongelesha kwa mtindo ule ambao niliutumia kipindi kile, ili ajigundue kuwa yeye ni nani aachane na kaka, lakini ndio kwanza hanikumbuki wala hakumbuki chochote.

Msaada wakuu, jinsi gani nitamnusuru kaka na huyu mwanamke? Shida sio kutafunwa na wanaume wengi, ila tatizo ni kuwa na mimi nishawahi kumtafuna mara mbili, tena kwa kumtangulizia pesa mbele! Nahisi namvua utu na heshima kaka yangu. Na kama watafanikisha, nahisi kuna siku nitapasha kiporo tu, kwa sababu namfahamu fika huyu binti.

Msaada tafadhari!
Maisha ukiyachukulia siriaz sana hutapiga hatua.
Yes umemtafuna alipokuwa malaya lakini huo ukurasa ameufunga.

Hauzi tena kei na huenda aliuza kwa taabu za dunia.
Mwache kaka aoe maisha hubadilika.

Watakuja watu kupinga lkn nawauliza...unajua huyo mpenzi wako ameliwa na nani wako?
 
Maisha ukiyachukulia siriaz sana hutapiga hatua.
Yes umemtafuna alipokuwa malaya lakini huo ukurasa ameufunga.

Hauzi tena kei na huenda aliuza kwa taabu za dunia.
Mwache kaka aoe maisha hubadilika.

Watakuja watu kupinga lkn nawauliza...unajua huyo mpenzi wako smeliwa na nani wako?
Acha utani wewe...watu wanajisaidia jivi lakini sio tabia
 
Maisha ukiyachukulia siriaz sana hutapiga hatua.
Yes umemtafuna alipokuwa malaya lakini huo ukurasa ameufunga.

Hauzi tena kei na huenda aliuza kwa taabu za dunia.
Mwache kaka aoe maisha hubadilika.

Watakuja watu kupinga lkn nawauliza...unajua huyo mpenzi wako smeliwa na nani wako?
Nambie nikupe hata andazi tu tafadhali❤️ analeta ujuaji na maisha ya watu huyo
 
Vyuma chakavu vitamwaga cheche sana huu uzi.. 🏃‍♂️ aisee jamaa anampenda kaka ake huwez kumuona mtu unaemtakia mema anaelekea kwenye shimo alaf ukanyamaza tuache unafki! Mchane bro live alaf ataamua kusikiliza au aendelee! Ila kama hii ni chai acha uchoko!
 
Halafu ulivyo mpumbavu unasema ikitokea Kaka yako ameoa basi IPO siku utapasha kiporo-unaonekana kichwani kwako una funza sio bure.
 
We ndo umeshindwa kubadilika mkuu,lakin watu uamua na inawezekana
Nikupe historia ya kweli.
Niliwahi kukutana na binti mrembo sana sana, nikiri hakuwa level zangu alipaswa awe na watu kama akina mond hivi.

Nilipomuona roho yangu ilipasuka sijawhi kuona.
Namna ya kumpata ilikuwa ngoma.
Nilichezesha mchezo kwa rafiki yangu wa kike tena kwa kumdanganya kuwa huyu binti kuna tajiri amtaka.

Lengo la kudanganya ni kwasababu huyu rafiki yangu alikuwa akitaka nimle lkn mimi sikuwa tayari kwani nilikuwa namheshimu mumewe so ningemwambia ukweli angeunguza mkanda.
Ni kweli nilifanikiwa kumnasa binti.

Tatizo alikuwa mtu wa viwanja sana hasa club.

But nilipoanza uhusiano naye yule binti alinielewa hadi nilishangaa akawa anataka hadi ndoa.

Nilimwambia T uko siriaz wataka ndoa?
Una uhakika umekata kiu ya ujana?

Alifunguka balaa na kunihakikishia kuwa G mimi sasa ni wako na ya dunia yametosha.

Nikamwambia usijali nitakupa muda uyahakiki maamuzi yako.

Nikamwambia huku unapotaka kuingia ukiiingia si unajua utamilikiwa na uhuru utapungua?
Kwa kifupi binti ali change mno.
Hakutaka tena hata tutoke saana na akili yake akaielekeza kwenye maendeleo.

Ulifika wakati ndg zake waliniheshimu mno kuwa nimemtuliza binti tmyao hadi wakamtaia jina la utani...sista yani wale watawa.

Akawa rafiki na mpenzi wangu wa maana mnoo.

Sina maneno mazuri ya kumuelezea huyo binti... watu hubadilika wakipata mtu sahihi......acha niiishie hapa
 
Acha zako bwana.
Unamuonea wivu bro anaenda kufaidi. Waache na mambo yao
Sure aache kihere here hata yeye sasa hivi kuna mtu anamgonga demu wake huku yeye baadae atamuoa kwa mbwembwe.
Ufike wakati tukubaki kuwa hakuna mtu wa peke yako.
Ataoa bikra lkn atagingwa ndani ya ndoa na hii inauma zaidi.
Bora agingwe gingwe akija kwangu atulie
 
Unajipitisha akukunbuke
Pamoja na kumla kwako hukuacha alama maishani mwake.
Tulia aolewe vinginevyo uolewe wewe😂
 
Eti anaoa bomu mbona wewe ulikula na wakati unakula ulikoj o lea kwa raha zote hukuona unakoj o lea bomu?
 
Huyu mwanamke nimemfahamu mwaka jana mwezi wa pili jijini Dar. Kila siku nilimkuta kwenye bar X yenye jina kubwa tu hapa Dar. Hakuwa mhudumu, bali alipretend kuwa mteja, kiuhalisia alikuwa anauza japo kwa kutumia akili pana sana! Alikaa kwenye moja ya meza mle bar akiwa katika mavazi na mikao ya kimtego huku vidole vyake vyenye kucha ndefu za kizungu vikibofya screen ya simu yake, ndipo ungelijitokeza na kuanza mazungumzo naye, ungempatia pesa si chini ya 30k na bia za kumlewesha, kiulaini ungevuta chombo Guest, maake zilikuwa mle mle kwa hotel. Kusema ukweli, hata mimi mwenyewe niliwahi kumchakata mara mbili tena kwa kukesha naye usiku kucha. Hakika anayajua mauno, anaijua miguno.

Mwezi wa saba mwaka huu nilienda kutembelea nyumbani Mwanza, ndipo kumkuta kaka yangu tayari kashafika. Safari hii alikuwa na binti mrembo asiye na mfano wa kufananishwa naye (yule yule binti). Nilipigwa butwaa mara ya kwanza nilipoonana nae, lakini licha ya kushangazwa kumkuta pale nyumbani, yeye binafsi hakunikumbuka kabisaa, wala kunivutia hata picha, tulisalimiana tu kibinadamu zaidi na ndipo dakika chache kaka yangu alinitambulisha kwa huyo binti. Ndipo ushemeji ukaanzia hapo. Nilithibitisha hili baada ya kuona hata mama yetu yuko serious kwenye mahusiano ya mwanae, huyu binti ndiye aliyekuwa anatupikia chakula pale nyumbani, hakika ni fundi pia wa mapishi jikoni.

Huyu binti anaonekana wazi kuwa tayari kashabadili mfumo wake wa kale wa maisha, kwa sasa ni mtu wa kusoma vijitabu vya kimungu mungu i.e Mnara wa mlinzi, kuangalia katuni sana na tamthiliya za star swahili. Simu yake haina password, pia yuko huru kuiacha sebuleni bila kuhofia chochote. Kuna siku nilikuwa nikimtazama na kumwongelesha kwa mtindo ule ambao niliutumia kipindi kile, ili ajigundue kuwa yeye ni nani aachane na kaka, lakini ndio kwanza hanikumbuki wala hakumbuki chochote.

Msaada wakuu, jinsi gani nitamnusuru kaka na huyu mwanamke? Shida sio kutafunwa na wanaume wengi, ila tatizo ni kuwa na mimi nishawahi kumtafuna mara mbili, tena kwa kumtangulizia pesa mbele! Nahisi namvua utu na heshima kaka yangu. Na kama watafanikisha, nahisi kuna siku nitapasha kiporo tu, kwa sababu namfahamu fika huyu binti.

Msaada tafadhari!
Kaka yako anaona kitu swaaafi. Kitu kinajua kupagawisha na wewe unataka kuroga mchakato.

Mwache bana
 
Back
Top Bottom