Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,861
...achilia mbali Imani za dini kukataza hili, hata kisayansi inakatazwa ndugu wa tumbo moja kuzaliana kwani kwa asilimia kubwa husababisha Birth defects/disorders.
Hawa wanandugu wawili wanahitaji ushauri nasaha wa kitaalamu, yaani waonane na wataalamu wa magonjwa ya akili wataoweza ku 'unearth' psychological trauma waliyopitia wanandugu hawa katika maisha yao i.e abused, ili 'historia' isije ikajirudia kwa vizazi vyao.
Kama wameweza kufikia hapo haitakuwa ajabu huyo kaka kumlala binti yake, au huyu mdada kulala na kijana wake wa kiume. It's a deep psychological problem rather than just Incest-lust.