Eeee,eee,eee,eti nini? mnananihiana mtu na kaka yake? mwe?
Hakuna dini inayoruhusu ndoa kati ya ndugu,hapo mwanajamii unataka chokoza nyuki, labda dini ya shetani inaruhusu,satanic church hiyo sina uhakika nayo. LAKINI iwe dini, ushirikina, malezi au vyovyote vile HAIFAI, ACHENI kabisa hayo mahusiano, hayafai kwa kila hali, mnaweza kuja zaa kilema,(kibaolojia), watu watawadharau,mnamkosea Mungu,mtaitwa wachawi,Sheria inakataza,jamii itawatenga......yaani natamani mgekuwa karibu yangu niwachape vibao bahati yenu.Acheni hako kamchezo haraka sana, leo leo sio kesho.