Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,298
Nisamehe lovie si kwamba nimeanza siasa kali hapana laaziz
Nimesema kwa kuwa nimewaona wengi wanafanya ya hivyo nikadhani inaruhusiwa kumbe wafanyao ni mahulka yao tu!!
Mie wangu alitoka na mtoto wa mjomba wake kabisa!! au ndo mambo ya Binamu nyama ya hamu?
mwanajamii.....aya ushaiona haijakataza kuoana binadamu. Uislam umempa fursa muumini wake kula nyama ya hamu 😀
by the way .....ukiristo umekataza kwa aya gani kuoana binaamu?