Kaka yangu anataka kunioa

Kaka yangu anataka kunioa

Nisamehe lovie si kwamba nimeanza siasa kali hapana laaziz
Nimesema kwa kuwa nimewaona wengi wanafanya ya hivyo nikadhani inaruhusiwa kumbe wafanyao ni mahulka yao tu!!

Mie wangu alitoka na mtoto wa mjomba wake kabisa!! au ndo mambo ya Binamu nyama ya hamu?

mwanajamii.....aya ushaiona haijakataza kuoana binadamu. Uislam umempa fursa muumini wake kula nyama ya hamu 😀

by the way .....ukiristo umekataza kwa aya gani kuoana binaamu?
 
Gumu zaidi ni lipi? kuoana au kufanya mapenzi? Mtu mwingine atakurupuka na kusema "kuoana"! Ni sawasawa na mtu anayeshtushwa kusikia ati mtu kaukatakata mwili wa mtu vipande vipande baada ya kumuua. Ukiuliza kipi kimekushtusha zaidi anasema "ni huo unyama wa kuukatakata mwili vipande"!

Kariri neno hili la hekima: "ukishavunja mwiko, mengine yote yanakuwa halali"!

Aksante kaka mimi nimeuliza hapo mwanzo the same. Kama alishakosea kwa kufanya mapenzi na huyo kakie na hakuuliza kwa nini aulize sasa? je akiambiwa ni dhambi atafanyaje wakati alishafanya hizo mara kadhaa?
 
Atatubu na hatarudia tena.
Then atatafuta mwenye uhalali wa kumuoa.
Hapa babuyo niko kimaadili na kidini zaidi. Si KiMILA.
 
mhh to me thats strange and i don think if real your mind works, mpaka mkafikia hatua ya kutamaniana ina maana mlikua mmefungwa kwenye kachumba kadogo???? u got no access to watu wengine???mmelelewa kwenye mazingira gani???how about ur religious ethics???well, to me real imenishangaza na......!!!but please don do that, its against the utaratibu wetu wa kimaadili and kimaisha.....!!!PLEASE LEAVE YOUR HABIT COZ WITH THAT THERE IS NO FUTURE PROGRESS!!!!
 
Mungu ibariki Africa, Mungu ibariki Tanzania!
 
Aksante kaka mimi nimeuliza hapo mwanzo the same. Kama alishakosea kwa kufanya mapenzi na huyo kakie na hakuuliza kwa nini aulize sasa? je akiambiwa ni dhambi atafanyaje wakati alishafanya hizo mara kadhaa?

Uzuri ni kwamba Dhambi hata utende kubwa vipi ukitubu unasamehewa."dhambi zako zijapokuwa nyekundu kuliko damu nitakusafisha uwe mweupe kuliko theluji"-Isay1.Kinachotakiwa ukitubu usitende dhambi tena.
Mimi naona kama walishafanya mapenzi wanaweza kutubu na wakaacha kabisa,lakini wakioana hapo itakuwa ngum zaidi.
 
mwanajamii.....aya ushaiona haijakataza kuoana binadamu. Uislam umempa fursa muumini wake kula nyama ya hamu 😀

by the way .....ukiristo umekataza kwa aya gani kuoana binaamu?

Gaijin we acha tu haya mambo yanatatiza sana ila nadhani kwenye ukristo wamekataza mahusiano na ndugu hawajasema kama ni ndugu binamu au la isipokuwa Mambo ya Walawi 18:6 unasema ' Mtu yeyote aliye wa kwenu asimkaribie mwenziwe aliye wa jamaa yake wa karibu ili kumfunua utupu.

Kitabu hiki na hasa chapter hii inakataza mahusiano ya karibu mfano na dada/kaka ambaye mmnashare mzazi, mke wa baba yako, mke wa kaka yako na hata mke wa jirani yako.

Atatubu na hatarudia tena.
Then atatafuta mwenye uhalali wa kumuoa.
Hapa babuyo niko kimaadili na kidini zaidi. Si KiMILA.
Heshima yako Babu yangu
Ni kweli kabisa atafanya toba na atasamehewa hilo silipingi jkinachonishangaza ni kuwa yeye haoni kama ni dhambi kuzini na kakie wala uwoga ila hiyo dhambi na uwoga unakuja pale anapotaka kuhalalisha ndoa?
 
Wadau; nawatoa tu nje ya topic, nina swali gumu sana:

Mungu aliwaumba Adam na Hawa. Wakamzaa Cain na Abel, then Cain akamwua Abel. Lakini tunaambiwa Cain alikuwa na Uzao. Je Alizaa na nani?

Mama yake? Dada yake? Na kama ni hivyo, ilikuwaje?
 
Mimi ni msichana wa miaka 23, nina kaka yangu baba mmoja na mama tofauti. Yeye ananipenda na mimi nampenda na tumekwisha wahi kufanya mapenzi mara kadhaa. Yeye ameahidi kuwa atanioa. Sisi ni Waislamu, je ni sawa tunachokifanya kama sio sawa tufanyeje?"

Nitajitahid ku-trace IP address ya machine yako nijue uko wapi ili niweze kuku-identify. The moment nimekupata be sure kwamba utakuwa liable kwenda jela for at least 5 years. Hata kama utakuwa unadanganya unachokisema, bado utakuwa na hatia mahakamnai ya kuwa na intention ya kutaka kufanya mapenzi na kaka yako. Unless uthibitishe beyond reasobalbe doubts kwamba hata nia tu hukuwa nayo. Lakni hata km hukuwa nayo, why write such a nosense stupid thing? Watu wanajadili hoja za namna wanatakavyojinusuru kutokana na hali zao ngumu za maisha halafu wewe unatuletea upumbavu sisi unadhani kla mtu mtoto mdogo hapa!
 
Heshima yako Babu yangu
Ni kweli kabisa atafanya toba na atasamehewa hilo silipingi jkinachonishangaza ni kuwa yeye haoni kama ni dhambi kuzini na kakie wala uwoga ila hiyo dhambi na uwoga unakuja pale anapotaka kuhalalisha ndoa?

Si unaona sasa?
Amesema haoni ndio maana anataka ushauri wenu mnaoona ili apate kuona.
Narudia tena, leo niko ki-Maadili na Ki-Dini zaidi. Siyo Ki-Mila!
 
Wakuu heshima daima

Japo sijui umri wa huyu kijana wa kiume (walau huyo wa kike ni 23 yrs), hawa naona ni watoto bado na watakuwa walianza hiyo tabia wakiwa wadogo zaidi, hiyo mara kadhaa yao waliyofanya huo mchezo ina maana kubwa sana.

Haya ni maradha ya malezi hasa hapa mjini, watoto wa jinsia mbili kulala chumba kimoja kwa sababu ya hali ya kifamilia, watoto hao kuangalia vipindi na tamthilia za kimapenzi pamoja sebuleni wakiwa peke yao usiku unategemea nini? Kuna mtu hapa kasema walipokuwa wanatongozana (samahani kwa neno hili) kwa mazingira ya namna hii niliyogusia hapo juu na mengine mabaya zaidi ya hayo e.g mashuleni hawatongozani, wanajikuta wamegusana na kwa umri wao miili imeisha chemka kuna uwezakano wakufikia hitimisho la tendo hilo bila utashi wao na baada ya hapo mchezo unakuwa wa kawaida mpaka kupelekea hiyo mara kadhaa yao. Lakini pia sija rule out kuwa hawako wanaotongozana na hata kubakana au kudanganyana kwa zawadi mbalimbali.

JF tuwasaidie watoto/vijana wetu hasa na hili janga la utandawazi na tamthilia zisizoangalia utamaduni, mazingira, mila na desturi za mtanzania, lakini pia peer groups wanazokutana nazo nje ya familia.

Hekima ni bora kuliko fedha.
 
waendelee kumegana lakini wasioane nikosa kwa sheria etu
 
Heshima yako Babu yangu
Ni kweli kabisa atafanya toba na atasamehewa hilo silipingi jkinachonishangaza ni kuwa yeye haoni kama ni dhambi kuzini na kakie wala uwoga ila hiyo dhambi na uwoga unakuja pale anapotaka kuhalalisha ndoa?
Imani huja kwa kusikia neno la Mungu.Ukimueleza kuwa ni dhambi atasikia na kuelewa.then atatubu.
 
Wadau; nawatoa tu nje ya topic, nina swali gumu sana:

Mungu aliwaumba Adam na Hawa. Wakamzaa Cain na Abel, then Cain akamwua Abel. Lakini tunaambiwa Cain alikuwa na Uzao. Je Alizaa na nani?

Mama yake? Dada yake? Na kama ni hivyo, ilikuwaje?

Ni kweli swali hili huwa linatatiza lakini tukumbuke kuwa mwanzo Mungu alimwuumba Adam na Eva tu. So mizao yote iliyoijaza dunia kipindi kile ilitokana na maingiliano ya wenyewe kwa wenyewe na haikuwa na madhara yoyote yale. Masuala ya undugu yaikuja wakati wa Musa pale ambapo MUNGU alianza kumpa maagizo kwa watu wake. So kaka na dada (watoto wa Adam na Eve) watakuwa walioana wenyewe kwa wenyewe na ndivyo dunia ilivyojazwa

[SIZE=+2][/SIZE]
 
That is incest! It is againist God and all religion! soma hapa

"Cursed is the man who sleeps with his sister, the daughter of his father or the daughter of his mother." Then all the people shall say, "Amen!" Deuteronomy 27:22.

It is againist all African cultures, it pervet, crooknedness. it is nasity, How can you even think of that filthy act.

kasema yeye mwislamu, hajui haya maandiko! nadhani X paster amemjibu vizuri

kwani wakati wanamegana hawakujua kwamba wao ni ndugu?
utakuta bado wanaendelea kuvunja amri ya 6 tu!

wanaendelea, na dada ameuliza kwa sababu hataki kuacha.. anataka kupata authorisation ya JF! ajipe moyo na kujiridhisha

Gumu zaidi ni lipi? kuoana au kufanya mapenzi? Mtu mwingine atakurupuka na kusema "kuoana"! Ni sawasawa na mtu anayeshtushwa kusikia ati mtu kaukatakata mwili wa mtu vipande vipande baada ya kumuua. Ukiuliza kipi kimekushtusha zaidi anasema "ni huo unyama wa kuukatakata mwili vipande"!

Kariri neno hili la hekima: "ukishavunja mwiko, mengine yote yanakuwa halali"!

kweli kaka!

Uzuri ni kwamba Dhambi hata utende kubwa vipi ukitubu unasamehewa."dhambi zako zijapokuwa nyekundu kuliko damu nitakusafisha uwe mweupe kuliko theluji"-Isay1.Kinachotakiwa ukitubu usitende dhambi tena.
Mimi naona kama walishafanya mapenzi wanaweza kutubu na wakaacha kabisa,lakini wakioana hapo itakuwa ngum zaidi.

what about consequences?? mbona hili huwa mnalisahahu sana wakati mnajipa moyo? unafikiri Mungu mjinga?( hadhihakiwi)

waendelee kumegana lakini wasioane nikosa kwa sheria etu

swali lako gumu mkuu, sijajua hivi serikali yetu inasema je kuhusu issue kama hii,

msaada tafadhali..
 
Back
Top Bottom