Kaka yangu anataka kunioa

Imani huja kwa kusikia neno la Mungu.Ukimueleza kuwa ni dhambi atasikia na kuelewa.then atatubu.
Aksante Charity mama Mchungaji naomba kila siku uwe unampa Babu yangu lift asubuhi si unaona leo alivyo'ongoka' hadi analeta raha
 
Wadau; nawatoa tu nje ya topic, nina swali gumu sana:

Mungu aliwaumba Adam na Hawa. Wakamzaa Cain na Abel, then Cain akamwua Abel. Lakini tunaambiwa Cain alikuwa na Uzao. Je Alizaa na nani?

Mama yake? Dada yake? Na kama ni hivyo, ilikuwaje?
Zamani kwa vile watu walikuwa wachache ilikuwa ruhusa kuoana kaka na dada.Kwa vyovyote atakuwa alimuoa dada yake.
Baadae watu walivyoongezeka Mungu akakataza kuoana kaka na dada kupitia sheria za torati ambazo Mungu alimpa Musa awape wana wa Israel.
 
Kama wamesha vunja amri ya 6 mara kibao waruhusini waoane tu kikubwa wanapendana.
Maana mkiwashauri wasioane huko mbeleni mwanaume akioa na mwanamke akiolewa wataendeleza haka kamchezo kachafu na itakuja kuleta misuko suko ndani ya ndoa zao waacheni waendeleeni kuvinjari tu kama miiko wamesha ivunja.
 
Wadau; nawatoa tu nje ya topic, nina swali gumu sana:

Mungu aliwaumba Adam na Hawa. Wakamzaa Cain na Abel, then Cain akamwua Abel. Lakini tunaambiwa Cain alikuwa na Uzao. Je Alizaa na nani?

Mama yake? Dada yake? Na kama ni hivyo, ilikuwaje?

Charity amekujibu pia vizuri ninaongezea,

walioana ndugu sio lazima dada na kaka, ila ilikuwa pia haina tatizo. Life span yao ilikuwa kubwa sana miaka 900, so walikuwa na muda mzuri wa kuongezeka na kuzaliana.

kwa Israel, ukiwa na mtoto wa kike ilikuwa hausebu kama una mtoto. watoto waliandikwa ni wanaume tu na walikuwa wengi , vitabu vinaelezea walikuwa na watoto kama 55, wanaume 20 na wanawake 359 kwa mujibu wa wanatheolojia ).

akina cain, abel na seth wamezungumzwa makusudi kwani wote hao wanaonyesha kivuli cha Yesu. spiritually Abel, Cain and Seth wana theolojia nzuri kabisa ya ku-connect na ujio wa Yesu na lengo lake.
 
Huyo dada atafute KIDUME kimtie mimba.......... baada ya hapo kaka atakasirika na ataamua kumuacha............. kama hawezi hivyo huyo hashauriki .........
 
Hebu achani uchuro - nyie mna genetic moja hata mkipima DNA ni damu moja - mnataka kuleta mambo ya ajabu sana kwa jamii - hebu achane mambo yenu ya kipuuzi - yaani wewe dada umekosa wapenzi hadi mvamiane hadi kaka yako wa damu - duh Aibu.

Hivi nyie kabila gani kwanza? na mmekulia wapi hadi mkaanza kutongozana nyie kwa nyie - yaani hukuona aibu kumvulia nguo kaka yako? mmmhhh uchafu huo we sister tutake radhi sisi wazee wa jamvini na utubu makosa yako.
 
sasa kama mshafanya mapenzi mara kadhaa kabla hamjauliza kama ni sawa au si sawa, leo hii ndo unauliza akikuoa ni sawa, kwani ndoa ni nini? until now i thought ndoa ni tendo la ndoa. ndo maana ndoa inakuwaga invalid kama hakuna tendo la ndoa, sasa yote mshafanya its so absurd!
 
Zamani kwa vile watu walikuwa wachache ilikuwa ruhusa kuoana kaka na dada.Kwa vyovyote atakuwa alimuoa dada yake..

Kumbe zamani ilikuwa ruksa kuoa dada ako hata mama mdogo mm kuna babu yangu alirithi mke mdogo wa baba yake baada ya kufariki. Huyu bibi mpaka kesho yupo na babu huyo aliemrithi nae bado yupo anaendelea kumega kizee zee hivyo hivyo.

Aksante Charity mama Mchungaji naomba kila siku uwe unampa Babu yangu lift asubuhi si unaona leo alivyo'ongoka' hadi analeta raha

Hahahaha M1 huyo ameambiwa anakichumvi haruhusiwe kunywa Valuer wala bia.

So kaka na dada (watoto wa Adam na Eve) watakuwa walioana wenyewe kwa wenyewe na ndivyo dunia ilivyojazwa

Sasa hapa unaongea maswala ya kusema kumega dada ako ni zambi yamekuja karne hizi huko zamani ukoo wa kina Daudi walikuwa wanadumisha mila sasa hivi Wahindi wanaendeleza wao wanaoana wao kwa wao mtoto wa dada ataolewa na mtoto wa mjomba au kaka.
 
Hilo nalo neno
 
Hilo ni kosa kubwa na ni dhambi mbele za Mwenyezi Mungu. Nendeni mkatubu ili mpate msamaha wa dhambi mliyoifanya. Nashangaa!!!!! Mtu unajua kabisa kuwa huyo ni kaka yako halafu unakubali kufanya naye ngono, kisha unatuambia mnataka kuoana !!!!!!!!! Acheni mara moja.
 
Huyo dada anawazingua tu jamani, kila mtu ameumbwa na nafsi (dhamira) ambayo hata mtu asipomwambia kua amekosa yeye mwenyewe ni wa kwanza kujua kua amekosa au kama anachofanya si sawa. Na anajua si sawa ndio maana ameuliza kama ni "SAWA" nafsi yake imeshamwambia kua si sahihi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na kaka yake sasa anatafuta ushahidi tu.

Acha waoane kwa kupingana na nafsi alafu wataliona balaa lake na dhambi yao inaweza ikaenda kwa watoto.
 
kasema yeye mwislamu, hajui haya maandiko! nadhani X paster amemjibu vizuri


kweli kaka!


what about consequences?? mbona hili huwa mnalisahahu sana wakati mnajipa moyo? unafikiri Mungu mjinga?( hadhihakiwi)

..


Uzuri ni kwamba Dhambi hata utende kubwa vipi ukitubu unasamehewa."dhambi zako zijapokuwa nyekundu kuliko damu nitakusafisha uwe mweupe kuliko theluji"-Isay1.Kinachotakiwa ukitubu usitende dhambi tena.

sikiliza Waberoya.Hapo kwenye red,Mungu kweli hadhihakiwi lakini kumbuka hao bado hawana neema ya wokovu kujua kuwa dhambi inaleta mauti.Hivyo yote wafanyayo wanaona ni sawa na hawajamkosea Mungu.Ni pale unapokuwa na Roho wa Mungu ndipo utaweza kuujua ukweli.N ndio maana nilisema ukitubu jitahidi usitende dhambi tena
 
Aksante Charity mama Mchungaji naomba kila siku uwe unampa Babu yangu lift asubuhi si unaona leo alivyo'ongoka' hadi analeta raha
We mjukuu wewe! Kwa mara ya tatu narudia leo niko kimaadili na kidini zaidi. Siyo kimila.

Zamani kwa vile watu walikuwa wachache ilikuwa ruhusa kuoana kaka na dada.Kwa vyovyote atakuwa alimuoa dada yake.
Baadae watu walivyoongezeka Mungu akakataza kuoana kaka na dada kupitia sheria za torati ambazo Mungu alimpa Musa awape wana wa Israel.
I wish ningezaliwa enzi hizo.....! Lazima ningekuoa!
 
nyumba wa wazazi wenu mmeifanya nyumba ya ngono yenu astaghafullilah hebu tuondoleeni hili balaa hapa
 
Wawaulize mama zao kwanza kama baba yao ni mmoja maanake inawezekana hata baba zao ni tofauti, mama ndie anajua.

Ilishatokea kisa kama hiki demu alimpenda kaka yake wa mama mwingine hata wakafikia kutaka kuoana. Alipotaka ushauri kwa mama yake kuwa itakuaje akiolewa na fulani ambaye ni mtoto wa baba yake kwa mama mwingine, mama akamwambia ''usikonde wala nini, baba yake huyo fulani sio baba yako hivyo hamna undugu wa damu mnaweza kuoana''
 
Mnaweza kufunga ndoa ila mitoto itakuwa MATAHIRA kwani angalieni waarabu wanavyooana mitoto mingi mitahira sasa kama mnatafuta matahira oaneni kwani kama kweli mnapendana zaeni kwanza kisha pelekeni kwa wazazi wenu hiyo agenda tena museme mumeshazaaa
 
Eeee,eee,eee,eti nini? mnananihiana mtu na kaka yake? mwe?
Hakuna dini inayoruhusu ndoa kati ya ndugu,hapo mwanajamii unataka chokoza nyuki, labda dini ya shetani inaruhusu,satanic church hiyo sina uhakika nayo. LAKINI iwe dini, ushirikina, malezi au vyovyote vile HAIFAI, ACHENI kabisa hayo mahusiano, hayafai kwa kila hali, mnaweza kuja zaa kilema,(kibaolojia), watu watawadharau,mnamkosea Mungu,mtaitwa wachawi,Sheria inakataza,jamii itawatenga......yaani natamani mgekuwa karibu yangu niwachape vibao bahati yenu.Acheni hako kamchezo haraka sana, leo leo sio kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…