Kaka yangu kaforwadiwa ujumbe huu kwenye simu, afanyeje?

Kaka yangu kaforwadiwa ujumbe huu kwenye simu, afanyeje?

Inashangaza sana mtu amekutana na kijana wa watu juzi tuu.. Alimkuta na ndugu zake na wazazi wake wako na raha na upendo leo hii inataka ampangie jinsi ya kuwasaidia..
Na kuna watu wanajua kuact, hata uwe mtaalamu wa kusoma tabia, akiwa mchumba anakuwa malaika, ukishaoa sasa ndio rangi halisi inatoka.
 
Lazima pia ufikiri kabla ya kushauriana na huyo unayemuita mwili mmoja una jukumu kubwa la kuwalea wazee wako. Je katika hayo mashauliano akikugomea kuwalea wazee wako inavyotakiwa utachukua maamuzi gani kama mwanaume. Kumfuata mkeo au akili yako ya kuwatunza wazee wako.
Na ukianza kushauriana na mkeo jinsi ya kuwahudumia na kuwasaidia ndugu zako au wazazi ipo siku ata kataa usiwasaidie..
Na mtu anatakiwa ajiulize kwanini swala la kuwasaidia ndugu au Wazazi mtu atakae kuitisha kikao na mkewe?
 
Na kuna watu wanajua kuact, hata uwe mtaalamu wa kusoma tabia, akiwa mchumba anakuwa malaika, ukishaoa sasa ndio rangi halisi inatoka.
Asilimia 80% ya wanawake wako hivyo na huigiza wakiwa kwenye uchumba. Na sijui kwanini wanawake walio wengi hawapendi ndugu wa mwanaume?
 
Asilimia 80% ya wanawake wako hivyo na huigiza wakiwa kwenye uchumba. Na sijui kwanini wanawake walio wengi hawapendi ndugu wa mwanaume?
Unajua ile sheria Yesu aliiweka kuwa amri moja ninawaachia MPENDANE, ni neno dogo lakini ni zito. Binadamu tungependa wala kusingekuwa na shida duniani.
 
Unajua ile sheria Yesu aliiweka kuwa amri moja ninawaachia MPENDANE, ni neno dogo lakini ni zito. Binadamu tungependa wala kusingekuwa na shida duniani.
Huu uzi watakao changia wengi wao watakuwa ni wanaume..! Hakika wanawake walio wengi hawapendi ndugu wa mwanaume hata kama hakuna sababu.

Na wengi hutamani kuolewa hata na mtu yatima au asiye na ndugu.
 
Wewe ni mwanamke? Umeolewa? Yani mimi nikitaka kusaidia ndugu zako nikae kikao na mke wangu? Hahahahaha Kamwe kama kuna mwanaume ana fanya hivyo ujue ana tatizo kubwa.

Ukisha mpa nafasi mwanamke wako kushiriki kwenye maamuzi ya kusaidia nduguzo na wazazi wako ujue kuna tatizo kubwa na kamwe hutowasaidia kamwe.

Ukitaka kujua mwanamke ni mchawi basi utamsikia akikwambia kuwa ukitaka kumsaidia ndugu au mzazi wako nishirikishe. Hivi huwa mnafikiri hawa ndugu na wazazi walipata shida kiasi gani kuwalea na kuwakuza hao mnao waita wame zenu?
Kwako Ruttashobolwa,
1. Kuhusu maswali uliyoniuliza (mwanamke au mwanaume, nimeolewa n.k) nadhani si muhimu kukujibu. Hayaongezi wala kupungua chochote kwenye mchango wangu au wako.
2. Ingekuwa vema sana siku nyingine ukaelekeza mchango/ushauri/ufafanuzi wako kwa mtoa mada badala ya ku-attack wachangiaji wenzako. Hii haitamsaidia mleta mada.
3. Ni vizuri pia ukiteleza kuwa binadamu tunatofautiana katika mambo mengi sana, ikiwepo pamoja na mtazamo yetu kuhusu mambo mbalimbali ya kijamii, kisiasa na kiuchumi. Ninaloliona mimi kuwa ni sahihi si lazima like sahihi kwako pia. Kwa hiyo usilazimishe kila mtu kuendana "mental framework" yako. Haitawezekana.

Ni hayo tu. Asante.
 
Inategemea na akili ya huyo bro wako, kama ni mimi, naachana naye kwani hawezi kuwa juu ya wazazi walionilea na ndugu zangu, na nikipata tatizo ni ndugu zangu watakaonisaidia na yeye atakuwa mbali
 
Kwako Ruttashobolwa,
1. Kuhusu maswali uliyoniuliza (mwanamke au mwanaume, nimeolewa n.k) nadhani si muhimu kukujibu. Hayaongezi wala kupungua chochote kwenye mchango wangu au wako.
2. Ingekuwa vema sana siku nyingine ukaelekeza mchango/ushauri/ufafanuzi wako kwa mtoa mada badala ya ku-attack wachangiaji wenzako. Hii haitamsaidia mleta mada.
3. Ni vizuri pia ukiteleza kuwa binadamu tunatofautiana katika mambo mengi sana, ikiwepo pamoja na mtazamo yetu kuhusu mambo mbalimbali ya kijamii, kisiasa na kiuchumi. Ninaloliona mimi kuwa ni sahihi si lazima like sahihi kwako pia. Kwa hiyo usilazimishe kila mtu kuendana "mental framework" yako. Haitawezekana.

Ni hayo tu. Asante.
Mbona jamaa yupo sahihi, wewe nini kimekuudhi
 
Huu uzi watakao changia wengi wao watakuwa ni wanaume..! Hakika wanawake walio wengi hawapendi ndugu wa mwanaume hata kama hakuna sababu.

Na wengi hutamani kuolewa hata na mtu yatima au asiye na ndugu.
Kabisa lakini mawifi wananogesha harusi ikiwezekana baada ya harusi unawaambia full stop😀😀
 
Huyo mwanamke anaekataa kulea wazazi wa mmewe ni mwendawazimu halafu hajielewei unashindwaj labda kuhudumia au kuwapenda wazazi walikuzalia mmeo?
hizo zitakua sio akili Bali ni matope tu kwenye kichwa chake!
Hahahaaa zaidi ya matope mkuu. Mtu kama mama huwa nikifikiria sipati wa kumlinganisha nae. Ata katika imani yangu imeandikwa "pepo yako iko katika nyayo wa mama yako"
 
Mkuu Shefwaa mimi nafikiri ni kila mtu kuheshimu mipaka yake tu. Mke abakie kama mke. Mama abaki kama mama. Baba abakie kama baba. Na wadogo zangu nao wabakie kama wadogo zangu. Kama ni msaada hata maofisini huwa tunatoa..njiani huwa tunatoa..mtu humjui ila unampa msaada.
Ni kweli mkuu dabo. Ila katika circumstance kama hiyo mwanamke anaanza kwa kujihami hivyo unaona ana nia nzuri na familia yako kweli??

Navyofahamu mimi mwanamke mwenge IQ ya kueleweka hawezi kuanza kuonyesha ubaradhuri kama huo atatafuta means ya kukufanya wewe uingie king bila kujijua. Huyu wa hii mada anaweza ata kukuroga kabisaaaaa maana tamaa yake iko mbele zaidi na anaona ndugu zako kikwazo kwake.

Sasa je utakuwa radhi kuona nduguzo ni mzigo juu ya mkeo/ girl wako???
 
Hasaa swali linalenga hasa pindi atakapokuwa mke. .huo ndio mtazamo atakaoingia nao. .refer the post msg

Unajuwaje kama atakuwa mke?

Sidhani hata kama ukristo unaruhusu hilo. Sisi Waislam hatuwezi kutafsiri aya kwa mambo ya haramu kama hilo.
 
Huyo aliyepost ni shetani, Ujumbe huo umeandikwa na mungu na si mwanamke. Usicomplain kwa nilichoandika
 
Huyo aliyepost ni shetani, Ujumbe huo umeandikwa na mungu na si mwanamke. Usicomplain kwa nilichoandika

Sikutaka kukujibu lakni ngoja nikuulize? umeelewa that verse? Where did God say. .A wife should come first b4 siblings?siku zote shetani hutumia tafsiri mbaya ya maandiko kutetea ushetan wake..like u do. .so spare me some nuts plz
 
Don't worry be happy, just a comment.
Huyo aliyepost ni shetani, Ujumbe huo umeandikwa na mungu na si mwanamke. Usicomplain kwa nilichoandika
 
Back
Top Bottom