Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu mkuu unamponda shilole alafu life yako ni ya kuungaunga tuwe waungwana kwa watu waliotuzidiKatika maisha kosea vyote ila sio kuoa. Huyu kaka etu ana roho ya uchuro yani sisi wadogo zake tumbo moja tukiwa na shida
Umesahau kutuambia kwamba wewe ni kijana mdogo wa miaka 37.
Mmh! Kumbe huwa upo? Mbona siku hizi huonekani humu ndani? Au umeamia Chit Chat? [emoji15]Kabisa tena atakubishia lakini ndowanapoishia
Naunga mkono HOJATafuta pesa zako uzipangie matumizi.
Ndugu mna laana sana kulilia pesa za kaka/dada zenu.
Huko ndiko anakothaminiwa na kuheshimiwa ninyi inaonesha hamnaga msaada zaidi ya kulalamika.
Ukiona vipi aachane na mkewe wewe uchukue nafasi ya mke na mpe kila apewacho na mke[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu hata mm kwaupande wangu Naona dalili ziko wazi kabisa Kwa brother,Ila nilichoona chamaana Sana,nikujipambania Tu mwenyewe kama vile yatima,ukifanikiwa zaidi yake ataanza kukutafuta yy ndipo mnaweza kuongea Kwa kuheshimiana mkuu,the best revenge is to be better than Ur rival.Katika maisha kosea vyote ila sio kuoa. Huyu kaka etu ana roho ya uchuro yani sisi wadogo zake tumbo moja tukiwa na shida ya kifedha jibu lake atasema Sina pesa ukibahatika sana basi utapewa nusu tu au unapewa kwa masimango lakini ndugu zake mke wake anawajali anacheka nao kila shida anawasaidia.
Mama mkubwa ametuambia karogwa na mke wake sisi kama ndugu tutafute mganga tumnasue maana huenda kapewa rimbwata. Huwezi sahau nyumbani kwenu ukawa unatunza watu ambao sio nduguzo, kwanini Hao watoto wasipewe hela na ndugu zao huko halafu waje kwa kaka etu kuwa ombaomba, kila nikienda kumsalimia broo nawakuta wapo, kila rikizo za shule na vyuo wakifunga wanaenda kwa broo.
Halafu utasikia shemeji shemeji, shemeji ya minyoko. Kuna siku miaka mitatu nyuma nilikwazika kweli, niliomba pesa ya ada akasema hawezi nipa mkononi akaenda benki akalipia, ila ndugu wa mke wake akitaka pesa ya Ada anampa cash in hand ila mimi haniamini. Binafsi nimeacha hata kwenda kumsalimia ila ipo siku atanikumbuka tu
Nina mashaka juu ya jinsia yako... Kwa unavyolalamika hapa hata ningekuwa mimi usingenusa hata sumni yangu coz kwanza huna shukran, sio mpambanaji, unapenda kulalamika na ni tegemezi mno. Msaada sio haki yako mbuzi wewe ni hiyari ya mtoaji anaweza amua kukunyima na kunywa pombe na usimfanye chochote. Pambana tafuta chako k ww. As long as anakulipia ada mengine komaa kenge weweKatika maisha kosea vyote ila sio kuoa. Huyu kaka etu ana roho ya uchuro yani sisi wadogo zake tumbo moja tukiwa na shida ya kifedha jibu lake atasema Sina pesa ukibahatika sana basi utapewa nusu tu au unapewa kwa masimango lakini ndugu zake mke wake anawajali anacheka nao kila shida anawasaidia.
Mama mkubwa ametuambia karogwa na mke wake sisi kama ndugu tutafute mganga tumnasue maana huenda kapewa rimbwata. Huwezi sahau nyumbani kwenu ukawa unatunza watu ambao sio nduguzo, kwanini Hao watoto wasipewe hela na ndugu zao huko halafu waje kwa kaka etu kuwa ombaomba, kila nikienda kumsalimia broo nawakuta wapo, kila rikizo za shule na vyuo wakifunga wanaenda kwa broo.
Halafu utasikia shemeji shemeji, shemeji ya minyoko. Kuna siku miaka mitatu nyuma nilikwazika kweli, niliomba pesa ya ada akasema hawezi nipa mkononi akaenda benki akalipia, ila ndugu wa mke wake akitaka pesa ya Ada anampa cash in hand ila mimi haniamini. Binafsi nimeacha hata kwenda kumsalimia ila ipo siku atanikumbuka tu
Hao mashemeji anaowapa pesa wanampa mbunye?kwani nyinyi ndugu mnaweza kumpa kaka yenu mbunye?
Kwa majibu haya ,ni dhahiri hata mumeo anawasaidia nduguzo tu na hawajali nduguze.Nina mashaka juu ya jinsia yako... Kwa unavyolalamika hapa hata ningekuwa mimi usingenusa hata sumni yangu coz kwanza huna shukran, sio mpambanaji, unapenda kulalamika na ni tegemezi mno. Msaada sio haki yako mbuzi wewe ni hiyari ya mtoaji anaweza amua kukunyima na kunywa pombe na usimfanye chochote. Pambana tafuta chako k ww. As long as anakulipia ada mengine komaa kenge wewe
Kwani we una umri gani jamaniii? Mbona huishiwi lawama?Katika maisha kosea vyote ila sio kuoa. Huyu kaka etu ana roho ya uchuro yani sisi wadogo zake tumbo moja tukiwa na shida ya kifedha jibu lake atasema Sina pesa ukibahatika sana basi utapewa nusu tu au unapewa kwa masimango lakini ndugu