Kaka yetu anasaidia ndugu wa mke wake, sisi hatusaidii

Ndugu Wana lawama sana hata shukurani hawanaga hata ukitoe vipi kwao bado watakulaumu!
Kiwasaidia haikatazwi wakati mwingine unakuta ndugu wanataka wakupangie maisha yako kama huyu mleta mada
 
We fala so unazo Hela wewe

Unafanya kazi NGO ya kimataifa,

Afu unaona aibu kuuza maji,

Afu una gamba la diploma ya ualimu,

Afu unauza kiwanja mpuyungu

Afu eti huna shida na kazi ya ualimu.

Afu unakombania kombolela la sensa

Afu unaishi mtaa wa UN upanga ya mpitimbi


Afu una...afu...

[emoji2]
 
Ndugu wa mume bana! Yaan kaka yenu akioa tayari mshaeka chuki kwa wifi/shemeji eti kaja kumaliza pesa za kaka yetu, hamtaki wifi/shemeji yenu atembelewe na nduguze, wadogo zake wakisoma eti ni pesa ya kaka, kwao wakijenga ni pesa ya kaka, yaan ni kama mlieka agano na Mungu kwamba upande wa mke lazima wawe fukara wa kutegemea pesa za ndugu zenu! Hamtaki ndugu wa mke asaidiwe ata kidogo wakati kaka yenu bahati mbaya ametangulia mbele za haki hakuna ndugu atajali watoto wake zaidi ya kugombania urithi afu watoto wanakuja kusaidiwa na wajomba ambao mliwaona tegemezi kwa kaka yenu
 
Kumsaidia mtu/ndugu ni utashi hakuna sheria wala kanuni, kubwa kabisa pambana tafuta zako Mkuu!

All the best
 
Naunga mkono HOJA
 
Kwa hizi nyundo alizopigwa nazo mtoa mada sasa hivi atakua kashazimia huko aliko
All in all kwenye maisha unatakiwa kushukuru hata kwa hicho kidogo unachopewa maana sio haki yako wala wajibu wake kukupa, anatoa tu msaada hayo mengine ni maisha yake binafsi, what if angekunyima kabisa?!
 
Mkuu hata mm kwaupande wangu Naona dalili ziko wazi kabisa Kwa brother,Ila nilichoona chamaana Sana,nikujipambania Tu mwenyewe kama vile yatima,ukifanikiwa zaidi yake ataanza kukutafuta yy ndipo mnaweza kuongea Kwa kuheshimiana mkuu,the best revenge is to be better than Ur rival.
 
Nina mashaka juu ya jinsia yako... Kwa unavyolalamika hapa hata ningekuwa mimi usingenusa hata sumni yangu coz kwanza huna shukran, sio mpambanaji, unapenda kulalamika na ni tegemezi mno. Msaada sio haki yako mbuzi wewe ni hiyari ya mtoaji anaweza amua kukunyima na kunywa pombe na usimfanye chochote. Pambana tafuta chako k ww. As long as anakulipia ada mengine komaa kenge wewe
 
Kwa majibu haya ,ni dhahiri hata mumeo anawasaidia nduguzo tu na hawajali nduguze.
 
Katika maisha kosea vyote ila sio kuoa. Huyu kaka etu ana roho ya uchuro yani sisi wadogo zake tumbo moja tukiwa na shida ya kifedha jibu lake atasema Sina pesa ukibahatika sana basi utapewa nusu tu au unapewa kwa masimango lakini ndugu
Kwani we una umri gani jamaniii? Mbona huishiwi lawama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…