Kaka yetu anasaidia ndugu wa mke wake, sisi hatusaidii

Goodgoodgoodgoodgoodgoooood
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wanawake wengi wakishaolewa japo sio wote huwa wanakuwa na roho mbaya. Hawapendi ndugu wa mume.

Nimeshawahi kushuhudia ndugu yetu mmoja alikuwa na upendo na ndugu zake,,kabla hajaoa lkn alivyooa tu kazi ikaanza. Sema ndugu wa mume kila mtu na maisha yake kwa hiyo hata kutembeleana ni nadra lkn hata itokee, ametembelewa na ndugu zake mke wake wala haangaiki kusema leo ndugu wa mume wanakuja. Kama siku hiyo kulikuwa na ratiba ya kupika makande yatapikwa hayohayo,,lkn siku wakiwa wanakuja ndugu zake ,,,kutapikwa mavyakula ya kila aina ambayo wala hayakuwepo kwenye ratiba.

Kwa hiyo anachosema mtoa mada yupo sahihi,, shida sio kutolea macho hela za kaka bali upendo ule anaowasaidia ndugu wa mke asaidie na ndugu zake. Kama anaweza waamin ndugu wa mke awaamin na ndugu zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwenye hizi ndoa ni mume tu ndo anakuwa wa kwanza kufa?
Wanawake wengi wanataka kauli kama yako, "ukifa/akifa nitahangaika na watoto, mara oooh ndugu wataninyanyasa, n.k

Mbona sijawahi kusikia mwanaume akisema habari za "mke wangu akifa ...."
 
Hivi kwenye hizi ndoa ni mume tu ndo anakuwa wa kwanza kufa?
Wanawake wengi wanataka kauli kama yako, "ukifa/akifa nitahangaika na watoto, mara oooh ndugu wataninyanyasa, n.k

Mbona sijawahi kusikia mwanaume akisema habari za "mke wangu akifa ...."
In most cases wengi wanatangulia wanaume wanawaacha wajane, sio kama wanawake huwa hawafi, wanakufa saaana tu ila issue ya watoto na mke kuteseka huwa linawaka wuuu
 
Duu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…