Kaka yetu Ben Pol sio mwenzetu tena, kapata Dada Mkenya Mwenye Pesa kama zotee

Mwanaume huwezi kutoboa kwa pesa za kuwekwa kinyumba na mwanamke. Kama Ben Pol hakuweza kutoboa kupitia mafanikio yake ya kimuziki, asitegemee pesa za malaya zinaweza kumtoa.
Hapa hawatakuelewa.
Ni sawa na kunena kwa lugha katikati ya kundi la walevi.

Enzi zetu sifa ya mwanaume utafute pesa kwa jitihada zako mwenyewe na wasichana walona fahari kuolewa na mwanaume mpambanaji. Enzi hizo pesa za mwanamke kwenye familia zilikuwa ni nyongeza tu.

Leo hii vijana wa kiume wanataka 'kuolewa' na wanawake wenye pesa. Dunia imepinduka!
 
Una maanisha kaolewa au? Ivi mwanaume unawezaje kutegemea ela za mwanamke?
 
Ni kweli, kulelewa sio ila wapo wanaotoboa kwa kupitia hela za wanawake hasa vijana wanaojua kujiongeza. Sio kula bata tu full time!
 
Kama kweli, basi Kenya kumenoga, wasanii wanatekwa tu.
Ila asiwe Mario, Mana atanyanyasika Sana akitemwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…