ndaga boy mtemi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 588
- 208
kapata aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaachana na Ebitoke.??
Hapa hawatakuelewa.Mwanaume huwezi kutoboa kwa pesa za kuwekwa kinyumba na mwanamke. Kama Ben Pol hakuweza kutoboa kupitia mafanikio yake ya kimuziki, asitegemee pesa za malaya zinaweza kumtoa.
Hahah ndio zaoHaaaaawamejaaa Masaiti wao walinzi wa nyumba na ploti za wadosi kweli wanaoenda kitonga
Wahuni sio watuHahahaha hahahaha ebitoke aliuza bikra yake.
Kweli wahuni sio watu wazuri...kaka umepotea lakini. Ulienda kubangua korosho nini?Wahuni sio watu
Hahahah aisee nilienda ila nilirudi mjini kwa kasi ya 4G baada ya dili kuingiliwa na siasaKweli wahuni sio watu wazuri...kaka umepotea lakini. Ulienda kubangua korosho nini?
Hahahah aisee nilienda ila nilirudi mjini kwa kasi ya 4G baada ya dili kuingiliwa na siasa
Una maanisha kaolewa au? Ivi mwanaume unawezaje kutegemea ela za mwanamke?Nilivyoambiwa wanawake wa kenya na Uganda wanajua mapenzi na kumcare mwanaume mwenzenu nilibishaga mjue, sasa ndio nimeamini kwa nini kaka zetu hawa wanakimbilia kwa kasi ya 4g kuowa na kuchumbia Kenya, Uganda na Rwanda
Kaka yetu Ben paul inasemekana kapata mchumba raia wa Kenya dada anapesa kama zotee, Ben sasa ni mtu wa hewani tu now anaenda ulaya kama posta vile
View attachment 977129
View attachment 977130
View attachment 977131
View attachment 977132View attachment 977133
Ni kweli, kulelewa sio ila wapo wanaotoboa kwa kupitia hela za wanawake hasa vijana wanaojua kujiongeza. Sio kula bata tu full time!Hapa hawatakuelewa.
Ni sawa na kunena kwa lugha katikati ya kundi la walevi.
Enzi zetu sifa ya mwanaume utafute pesa kwa jitihada zako mwenyewe na wasichana walona fahari kuolewa na mwanaume mpambanaji. Enzi hizo pesa za mwanamke kwenye familia zilikuwa ni nyongeza tu.
Leo hii vijana wa kiume wanataka 'kuolewa' na wanawake wenye pesa. Dunia imepinduka!
Kama kweli, basi Kenya kumenoga, wasanii wanatekwa tu.Nilivyoambiwa wanawake wa kenya na Uganda wanajua mapenzi na kumcare mwanaume mwenzenu nilibishaga mjue, sasa ndio nimeamini kwa nini kaka zetu hawa wanakimbilia kwa kasi ya 4g kuowa na kuchumbia Kenya, Uganda na Rwanda
Kaka yetu Ben paul inasemekana kapata mchumba raia wa Kenya dada anapesa kama zotee, Ben sasa ni mtu wa hewani tu now anaenda ulaya kama posta vile
View attachment 977129
View attachment 977130
View attachment 977131
View attachment 977132View attachment 977133
Hahaha Dah! Hapo Ebitoke asubiri tuKaachana na Ebitoke.??
Kwa hiyo bikra yake ndiyo hivyo tena.Hahaha Dah! Hapo Ebitoke asubiri tu
Maigizo tu Yale hakuna cha bikira wala MariaKwa hiyo bikra yake ndiyo hivyo tena.