Kaka yetu Ben Pol sio mwenzetu tena, kapata Dada Mkenya Mwenye Pesa kama zotee

Mgogo na kitonga tena, hawajawahi kufanya makosa toka enzi za Makamba!!!
Hahaa .... ontario si alisema kuna 3d sijui za kuprint gari au nyumba halafu inatokea... na mimi niagizieni japo moja aisee nataka niji print niwe kama ben paul huwenda madada wamjini na mimi wakaniona
 
Kama kweli, basi Kenya kumenoga, wasanii wanatekwa tu.
Ila asiwe Mario, Mana atanyanyasika Sana akitemwa.
Uyo demu Bibi yake alikuwa tajiri akamrithisha mama yake ambae kwa Sasa Ni moja ya matajiri wa 5 zaidi wanawake Kenya ,
Dogo sasahivi ndo tajiri binti zaidi Kenya Sasa hapo Ben Pol inabid atulie tu awe mpole
 
Sema uyo demu pesa kazikuta kuanzia Bibi yake alikuwa tajiri mama yake ndo tajiri zaidi
 

Na kweli dunia imepindukia kifo cha mende.., miguu juu. Na vijana wa sasa ndio starehe yao utafutaji wao ni wa mwanamke mwenye pesa na si kuwa na pesa zao!
 
Aiseee, waendelee tu kuwa wakenya na Akina sie tubaki Kuwa wa tz
 
Mtoto mkali halafu ana kilemba kirefu...ngoja nihamie Kenya na mie ila kuimba ndio sijui sasa...da!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…