bikira latifah
JF-Expert Member
- Oct 27, 2016
- 667
- 1,850
ReallyAhahaha sema wa Kenya wanajua kuzisaka na sio wagumu kuspend na wapenzi wao. Wana ile spirit flani ya kitasha kwamba wanaeza spend na mpenzi on thier own cash, ila ukute mmbongo hapo anasubiri mpaka uombe kwenda ATM kuongeza fungu jingine na hapo ana laki kwenye pochi!