Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mgogo na kitonga tena, hawajawahi kufanya makosa toka enzi za Makamba!!!
Yaani chali kabisa?Hapa hawatakuelewa.
Ni sawa na kunena kwa lugha katikati ya kundi la walevi.
Enzi zetu sifa ya mwanaume utafute pesa kwa jitihada zako mwenyewe na wasichana walona fahari kuolewa na mwanaume mpambanaji. Enzi hizo pesa za mwanamke kwenye familia zilikuwa ni nyongeza tu.
Leo hii vijana wa kiume wanataka 'kuolewa' na wanawake wenye pesa. Dunia imepinduka!
Nilivyoambiwa wanawake wa kenya na Uganda wanajua mapenzi na kumcare mwanaume mwenzenu nilibishaga mjue, sasa ndio nimeamini kwa nini kaka zetu hawa wanakimbilia kwa kasi ya 4g kuowa na kuchumbia Kenya, Uganda na Rwanda
Kaka yetu Ben paul inasemekana kapata mchumba raia wa Kenya dada anapesa kama zotee, Ben sasa ni mtu wa hewani tu now anaenda ulaya kama posta vile
View attachment 977129
View attachment 977130
View attachment 977131
View attachment 977132View attachment 977133
Yupo vizuri!Anerlisa ni kisu hatari..
nalipenda kinomanoma!
Namna hioHahaha...matonya?
HahahahahahahahaaaaMgogo na kitonga tena, hawajawahi kufanya makosa toka enzi za Makamba!!!
Hivi nlisikiaga jamaa mchele mchele ni kweli au??kama sio kwel basi jamaa yawezekana akawa mchicha mwiba au ndo wabongo mambo ya kuzusha tuu
Usimwite Malaya mkuu ,kumbuka hata wewe una mamaMwanaume huwezi kutoboa kwa pesa za kuwekwa kinyumba na mwanamke. Kama Ben Pol hakuweza kutoboa kupitia mafanikio yake ya kimuziki, asitegemee pesa za malaya zinaweza kumtoa.
hahahaaMgogo na kitonga tena, hawajawahi kufanya makosa toka enzi za Makamba!!!