Kaka yetu Ben Pol sio mwenzetu tena, kapata Dada Mkenya Mwenye Pesa kama zotee

Kaka yetu Ben Pol sio mwenzetu tena, kapata Dada Mkenya Mwenye Pesa kama zotee

Ndio matatizo ya wanaume wa Dar. Mnapenda mno kitonga. Ukute huyo dada ni she male aiseee.
 
Anerlisa ni kisu hatari..
nalipenda kinomanoma!
 
Hapa hawatakuelewa.
Ni sawa na kunena kwa lugha katikati ya kundi la walevi.

Enzi zetu sifa ya mwanaume utafute pesa kwa jitihada zako mwenyewe na wasichana walona fahari kuolewa na mwanaume mpambanaji. Enzi hizo pesa za mwanamke kwenye familia zilikuwa ni nyongeza tu.

Leo hii vijana wa kiume wanataka 'kuolewa' na wanawake wenye pesa. Dunia imepinduka!
Yaani chali kabisa?
 
Mkuu Hela Ya Mwanamke Hainaga Guarantee
Nilivyoambiwa wanawake wa kenya na Uganda wanajua mapenzi na kumcare mwanaume mwenzenu nilibishaga mjue, sasa ndio nimeamini kwa nini kaka zetu hawa wanakimbilia kwa kasi ya 4g kuowa na kuchumbia Kenya, Uganda na Rwanda

Kaka yetu Ben paul inasemekana kapata mchumba raia wa Kenya dada anapesa kama zotee, Ben sasa ni mtu wa hewani tu now anaenda ulaya kama posta vile
View attachment 977129
View attachment 977130
View attachment 977131
View attachment 977132View attachment 977133
 
Hivi nlisikiaga jamaa mchele mchele ni kweli au??kama sio kwel basi jamaa yawezekana akawa mchicha mwiba au ndo wabongo mambo ya kuzusha tuu
 
Mgogo ni Mgogo tuu haachi Asili yake kamwe hawezi kuacha U-Matonya.
 
hahah demu kamaliza msosi yeye bado.. kweli sio mwanaume mwenzetu
 
Mimi naona wapi kibiashara zaidi kuliko sisi tunavyodhani.. kulingana na anerlisa wanafanya vacation na kubrand kampuni yake ya still water. Hasa katika sehemu ambazo wanapata support ya kutosha

But may b wanamahusiano pia, maana anything can happen kwenye mambo ya kazi..
20181231_183352.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom