KakaKiiza 2010 February 16 Mpaka leo 2019 February 16!

Hongera sana kaka!Mungu ainue kizazi chako kiwe bora sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana Kaka Kiiza. Humu JF kuna watu wema pia. Hakika we we in mmoja wapo. Bado unapatikana Tegeta?
 
Hongera kaka kwa kutambua mchango wa jf. Founder na members. Hongera kwa kufika ulipofika na jf. tuna la kujifunza kutoka kwako.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…