Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KakaKiiza hongera sana, pamoja na kusema yote ya kuisifu jf na founders wake, umekosa kuleta dondoo muhimu ya njia zako humu, miaka kumi hukuwahi kupata totoz za jf kweli...?
Pole kwa kufiwa na mwandani wako..
Huyo alishanishindaga tabia tangu enzi nikiwa wake.Nawaona ndege mnaofanana mnaruka pamoja wazee wa mitaloni kwa Man Madame B njoo uchukue client wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ushajijibu mwenyewe kwanini hawarudi.Nadhani nina bahati mbaya nikitupia PM tunaongea tu ukigusia mgegedo hawarudi labda hapa wasikie kilio changu leo nasubiria PM aliyenielewa nakukaribisha tufungue ukurasa mpya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ushajijibu mwenyewe kwanini hawarudi.
Khaaa!!!!
Cha kutoa watoto wa watu uzazi....
Ila kutoka moyoni, wifi kapata kaka.
Kuchepukia mgegedo mwingine atake yeye tu.....'Mashallah'
Hahahah....ila nimetania au kuna ukweli?Umeuona nini Madame B yawezekana nilikugegeda bila kukujua kama ni wewe au ulichungulia nikiwa nakojoa?maana sisi wanywaji ukishikwa unatafuta upenuni unamaliza nipe majibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakitu unataka nipe code nikutafute.Hahahah....ila nimetania au kuna ukweli?
Maana unajua una ya punda wewe mwanaume....
Hahahh
Maini yapo pale paleHahahh
Labda waje wageni bhana.
Mie kwakwasu zamu yangu ishapita na umri ushanitupa mkono
Kwa Kakakiiza umekuwa mpole kweliHahahh
Labda waje wageni bhana.
Mie kwakwasu zamu yangu ishapita na umri ushanitupa mkono
Hahaha
Unaanza eeee
Kwa hiyo ukizubaa umekwenda na maji?Unaanza eeee
Kiiza shem wangu....shemeji kula hao