Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Haiwezekani mchezaji anayedai haki zake atelekezwe tu hivihivi huku TFF inakodoa macho tu , huu ni zaidi ya uonevu .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla ya kuvunja mkataba mlipeni haki zake , kwanza mkataba mlishauvunja kitambo baada ya kukiuka makubalianoHaki yoyote inadaiwa kwa utaratibu mkuu,,, c kwa kukiuka utaratibu,,,,, wachezaji weng wanadai stahiki zao ila kwa utaratibu maalum
Binafc nampongeza kocha kwa alichokifanya kwa kakolanya na ni funzo tosha kwa wachezaj wengine,,,,
Dirisha limefungwa,,, na kocha hamtak,, nadhan avunje tu mkataba
Ni sahihi kudai haki yake, lakini kanuni ya dhahabu (golden rule) ni kutochukua sheria mikononi. Ndio maana unapomdhuru mwizi wa mali yako unaadhibiwa licha ya kuwa mwizi huyo alikukosea. Lakini usisahau na mwalimu naye anastahiki kutendewa haki na mchezaji. Kutoweka kambini bila ya kuwasiliana naye ni kumnyima haki hiyo. Naye ana haki ya kuidai, na ndivyo alivyofanya. Kwamba ili aridhike, mchezaji huyo atafutiwe timu nyengine au yeye aondoke. Kumbuka hajamfukuza Kakolanya, ameupa uongozi chaguo (options). Kwa hivyo mkuu si sahihi kusema kwamba Kakolanya kafukuzwa kwa kudai haki yake, la hasha. Ni kwamba Kakolanya amemkosea Mwalim na klabu ikaridhika na pendekezo la kuondoka yeye badala ya Mwalim. Klabu haijakataa kwamba anaidai haki zake, wala haiwezi kukwepa wajibu wa kumlipa.Haiwezekani mchezaji anayedai haki zake atelekezwe tu hivihivi huku TFF inakodoa macho tu , huu ni zaidi ya uonevu .
Ina maana Musiba hatoshi!!?...basi mshahuri aende kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.....Ziro Zironi...Haiwezekani mchezaji anayedai haki zake atelekezwe tu hivihivi huku TFF inakodoa macho tu , huu ni zaidi ya uonevu .
Mbona wenzake pia wanadai stahiki zao na hawakugoma?Haiwezekani mchezaji anayedai haki zake atelekezwe tu hivihivi huku TFF inakodoa macho tu , huu ni zaidi ya uonevu .
Wewe ni mpenzi wa simba na JPM hater acha yanga wagange yao! Umemsikia coach kama bado endeleaHaiwezekani mchezaji anayedai haki zake atelekezwe tu hivihivi huku TFF inakodoa macho tu , huu ni zaidi ya uonevu .
Do not be that much biased, coach hawezi vunja mkataba! Unajua agent wa kalolanya ni simba! It seems mna ajenda ya siri kuihujumu yanga kama mnavyomhujumu JPMKabla ya kuvunja mkataba mlipeni haki zake , kwanza mkataba mlishauvunja kitambo baada ya kukiuka makubaliano
Coach aliwaeleza wengine wakarudi yeye kajifanya kichwa ngumu! I believe kama tungekuwa na Macoach kama zahera Mpira wa TZ ungekuaYanga ndiyo inayotakiwa kuvunja mkataba au 'kumfukuza' ili mwakani akatafute timu nyingine, kwa kiwango alichonacho hawezi kukosa timu! huyu mchezaji amenyanyasika sana ndani yanga, mbona kocha huyo huyo alikubali kuwapokea yondani, ajibu, shishimbi hawa wotee walikuwa na kesi kama ya kakolanya na 'wadau' wakawatimizia madai yao tena kwa noti ndefu kuliko hizo mil2 za kakolanya!......mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!
Hatupangiwi,acha aendelee kugoma tuHaiwezekani mchezaji anayedai haki zake atelekezwe tu hivihivi huku TFF inakodoa macho tu , huu ni zaidi ya uonevu .
huyo jpm anajihujumu mwenyewe kwa kujifanya mjuajiDo not be that much biased, coach hawezi vunja mkataba! Unajua agent wa kalolanya ni simba! It seems mna ajenda ya siri kuihujumu yanga kama mnavyomhujumu JPM
Yeah na kocha alishawaambia Kama huwezi kuvumilia ondoka kabisa,bora angemuaga kocha ila yeye hakumuaga hata MwalimuCoach aliwaeleza wengine wakarudi yeye kajifanya kichwa ngumu! I believe kama tungekuwa na Macoach kama zahera Mpira wa TZ ungekua
Hayo mapungufu yako! He is the president and as long bado ni president jaribuni kumheshimu kama wamarekani wanavyomheshimu trump! Mna roho ya kwanini yeye si Lowasa tangu mwanzohuyo jpm anajihujumu mwenyewe kwa kujifanya mjuaji
Aliletwa makusudi aihujumu yanga ingawa siku ile alisaidia sanaYeah na kocha alishawaambia Kama huwezi kuvumilia ondoka kabisa,bora angemuaga kocha ila yeye hakumuaga hata Mwalimu
Twende jukwaa la siasa mkuu , huku si mahali pake , bali unachotakiwa kufahamu ni kwamba hatumchukii JPM peke yake , watanzania wote kwa umoja wetu hatuitaki ccm na makandokando yake kwa ujumla ukiwemo weweHayo mapungufu yako! He is the president and as long bado ni president jaribuni kumheshimu kama wamarekani wanavyomheshimu trump! Mna roho ya kwanini yeye si Lowasa tangu mwanzo
Mkuu sasa huku Siasa za nn? Si ungemfuata pmTwende jukwaa la siasa mkuu , huku si mahali pake , bali unachotakiwa kufahamu ni kwamba hatumchukii JPM peke yake , watanzania wote kwa umoja wetu hatuitaki ccm na makandokando yake kwa ujumla ukiwemo wewe
huyo mshamba ndio ameanzisha huu ujingaMkuu sasa huku Siasa za nn? Si ungemfuata pm