Kakonko: Makusanyo kwa mwaka ni Tsh. Milioni 539, lakini Ujenzi wa nyumba ya Mkuu wa Wilaya umetengewa Tsh. milioni 700

Taahira mkubwa wewe tumeishi na JPM tumemuona, tumeuona utendaji wake hatujahadithiwa, JPM asingeweza kuapprove upuuzi huo, misho.ga ka nyie lazima mumchukie kwa kuzuia accounts za viNGO vyenu na mafuta ya KY.
Jpm is no more! He is gone forever.. Life goes on. Cha muhimu ni taasisi imara na sio kumtegemea mwanadamu ambae leo yupo kesho hayupo..
 
Ndugu Zangu Tuchape Kazi
Tumechelewa Sana Ndugu Zangu
Haya Majizi Yameimaliza Tanzania

Halafu Tunadanganyana!!☻☻☻😏😏
 
Nireteeni Gwajima
Huyu Daniel Ni Darasa La Saba Hajui Hata Kujieleza
Lakini Ndugu Zangu Nileteeni Huyu!!
Huwezi Kuwa Na Chakula Kizuri Ukampa Mtoto Wa Jirani 🖒😅😆😁😀😂😃😁😆😅😅😅
Jiwe Amecha Kisanga Huku Nyuma
 

When you are talking about REGASI this is exactly what it meant[emoji3][emoji3][emoji3]
Acheni kushadadia upuuzi

Japo Jpm alikuwa na mapungufu yake lakini moja ya uimara wake mkuu ilikuwa ni kupiga Vita matumizi mabaya ya fedha zetu ndio maana tumbua tumbua zilikuwa haziishi

Upuuzi kama huu hakuna RC, DC au DED angekubali ufanyike ktk eneo lake maana ingekuwa ndio anapalilia kutumbuliwa kwake

Alipokuwa akitumbua mafisadi nyinyi Wapuuzi ndio mlikuwa mnakuja kutetea watumbuliwaji na kumdhihaki Jpm, sasa leo hao mafisadi wanapiga dili nyinyi tena mnakuja kulialia

Acheni unafiki
 
SAMIA HUNA DOA WW JIKAGUE WATAKUJA TU TENA WINO USIJE KUKUMWAGIKIA
 
Sio kwamba mbali na makusanyo hayo, pesa nyingine inatoka serikali kuu?
 
mil 700 yote hiyo kujenga nyumba ya mkuu wa wilaya huko mbwinde Kigoma????
 

Uongozi wa CCM umejaa wezi tupu ,sasa kukarabati Nyumba tu unatumia milioni 150 ,je kujenga si watatumia bilioni 2? Sasa hiyo 150m si unajenga nyumba nzuri tu ya kisasa?
 
Namna mojawapo ya kuyashughulikia ni kuruhusu media houses na watu kuyaibua na kuyasema. Hapa ndipo Magu alikosea sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…