Kakonko: Makusanyo kwa mwaka ni Tsh. Milioni 539, lakini Ujenzi wa nyumba ya Mkuu wa Wilaya umetengewa Tsh. milioni 700

Kakonko: Makusanyo kwa mwaka ni Tsh. Milioni 539, lakini Ujenzi wa nyumba ya Mkuu wa Wilaya umetengewa Tsh. milioni 700

Taahira mkubwa wewe tumeishi na JPM tumemuona, tumeuona utendaji wake hatujahadithiwa, JPM asingeweza kuapprove upuuzi huo, misho.ga ka nyie lazima mumchukie kwa kuzuia accounts za viNGO vyenu na mafuta ya KY.
Jpm is no more! He is gone forever.. Life goes on. Cha muhimu ni taasisi imara na sio kumtegemea mwanadamu ambae leo yupo kesho hayupo..
 
Ndugu Zangu Tuchape Kazi
Tumechelewa Sana Ndugu Zangu
Haya Majizi Yameimaliza Tanzania

Halafu Tunadanganyana!!☻☻☻😏😏
 
Nireteeni Gwajima
Huyu Daniel Ni Darasa La Saba Hajui Hata Kujieleza
Lakini Ndugu Zangu Nileteeni Huyu!!
Huwezi Kuwa Na Chakula Kizuri Ukampa Mtoto Wa Jirani 🖒😅😆😁😀😂😃😁😆😅😅😅
Jiwe Amecha Kisanga Huku Nyuma
 
Nyumba zishafika kwenye kupigwa rangi , bado huamini kama alihusika ?
When you are talking about REGASI this is exactly what it meant
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png

When you are talking about REGASI this is exactly what it meant[emoji3][emoji3][emoji3]
Acheni kushadadia upuuzi

Japo Jpm alikuwa na mapungufu yake lakini moja ya uimara wake mkuu ilikuwa ni kupiga Vita matumizi mabaya ya fedha zetu ndio maana tumbua tumbua zilikuwa haziishi

Upuuzi kama huu hakuna RC, DC au DED angekubali ufanyike ktk eneo lake maana ingekuwa ndio anapalilia kutumbuliwa kwake

Alipokuwa akitumbua mafisadi nyinyi Wapuuzi ndio mlikuwa mnakuja kutetea watumbuliwaji na kumdhihaki Jpm, sasa leo hao mafisadi wanapiga dili nyinyi tena mnakuja kulialia

Acheni unafiki
 
Huyu ni kichaa, anaongelea mambo ya 2020 kipindi ambacho huyo mwendazake ndio aliokua anayapitisha kufanyika, halafu anajitoa ufahamu kwamba Rais Samia ndio amefanya utumbo huo.

Hio millioni 700 kipindi cha mwendazake zingetumika kwaajili ya kununua magari mawili tu ya wakurugenzi wa mikoa (400 Million gari moja kama la yule bwana fulani kule Geita).

Ningetarajia angesema kwamba "WATEULE WA MWENDAZAKE KATIKA UBORA WAO WA UFISADI". Ingekaa sawa.
SAMIA HUNA DOA WW JIKAGUE WATAKUJA TU TENA WINO USIJE KUKUMWAGIKIA
 
Wakati makusanyo ya mapato katika wilaya ya Kakonko kwa mwaka 2020/21 yalikua ni Milioni 539, ujenzi wa nyumba ya mkuu wa wilaya umetengewa milioni 700. Fedha hizi ni mara tatu ya fedha zinazogharamia elimu kwa shule za msingi Kakonko

Ukarabati wa nyumba Katibu Tawala Kisarawe umetengewa milioni 130.

Fedha zinakaribia kulingana na bajeti ya sekta ya afya Kisarawe Kwa mwaka 2020/2021, milioni 150.

Ukarabati wa nyumba ya Katibu Tawala Mkuranga milioni 140 na

Ukarabati wa nyumba ya Katibu Tawala Bagamoyo milioni 120.

Fedha hizi ni zinakaribia bajeti ya sekta ya afya katika wilaya hiyo kwa mwaka 2020/2021 ambapo milioni 300 zilipelekwa kwa ajili ya ujenzi wa zahanati.
....tuendelee na nyimbo waombolezaji .....hayupoo hayupooooo ...... hayupoooo
Sio kwamba mbali na makusanyo hayo, pesa nyingine inatoka serikali kuu?
 
Uongozi wa CCM umejaa wezi tupu ,sasa kukarabati Nyumba tu unatumia milioni 150 ,je kujenga si watatumia bilioni 2? Sasa hiyo 150m si unajenga nyumba nzuri tu ya kisasa?
 
Namna mojawapo ya kuyashughulikia ni kuruhusu media houses na watu kuyaibua na kuyasema. Hapa ndipo Magu alikosea sana.
JPM asingeweza kuapprove upuuzi huo. Suala ni kwamba hii nchi ina matakataka kibao manyonyaji serikalini. Pamoja na kwamba alijitahidi kuyakemea na kuyaminya lakini bado ni mengi mno kuyamaliza si kitu rahisi. Mama asipokuwa mkali kuyashughulikia haya manyonyaji tutamshughulikia yeye. Hatuwezi kulipa kodi halafu itafunwe na majitu yasiyoweza kujilisha nje ya serikali.
 
Back
Top Bottom