figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Wanaoenda Kizimkazi ni watu wanaokula Nchi. Ni Mafisadi, Wahujumu Uchumi, na Wana CCM wnaaofaidika na Chama
Sasa wewe hela ya kwenda Kizimkazi huna. Ni CCM kweli? Si Bora ujiunge na Masikini wenzio CHADEMA?
Kwamba usipoenda Kizimkazi unaonekana humuungi Mkono Samia.
Ili kujiipendekeza ni lazima uende ili uendelee kuteuliwa na Samia kuwanyonya Wananchi.
But bado miaka miwili huu upumbavu uishe.
Kizimkazi patabaki Mahame..
Nimepita pale Jambiani, kuna nyumba alikuwa anakaa Samia alipokuwa Mbunge. Kaitelekeza hadi nyasi zimeota kwenye Mlango hakuna anayeishi.
Ndivyo itakuwa Kizimkazi 2031. Chato unaisikia