Kakopa hela aende Kizimkazi asionekane Msaliti. Ujinga

Kakopa hela aende Kizimkazi asionekane Msaliti. Ujinga

Huwezi ukaelewa Faida yake kutokana na upofu wa akili na macho ulionao


Taja faida moja ya hilo tamasha weww kidampa wa buku 7.

Mbona hatukuwahi kuwa na Butiama, Kivure, Lupaso , Msoga, Chato festivals.?

Halafu wewe ndio huwezi kuelewa maana kama umeenda huko basi umelipiwa hujui hata gharama kama mnavyosombwa kwenye malori kwenda kwenye mikutano.

Nimeuliza maswali ya msingi ambayo huwezi kuyajibu.
 
Back
Top Bottom