figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Mkuu nimemuona yule kambale wa Kisarawe na kisauti chake cha mtoto wa chekechea ''tupo wengi, tupo wengi yupo kwenye ndinga na mkewe ananendesha anaenda Kizimkazi'' anajinasibu anaenda kuunga juhudi za mama mipasho! hawa ndio wanakula nchi lakini yana mwisho ni muda tu.Wanaoenda Kizimkazi ni watu wanaokula Nchi. Ni Mafisadi, Wahujumu Uchumi, na Wana CCM wnaaofaidika na Chama
Sasa wewe hela ya kwenda Kizimkazi huna. Ni CCM kweli? Si Bora ujiunge na Masikini wenzio CHADEMA?
Kwamba usipoenda Kizimkazi unaonekana humuungi Mkono Samia.
Ili kujiipendekeza ni lazima uende ili uendelee kuteuliwa na Samia kuwanyonya Wananchi.
But bado miaka miwili huu upumbavu uishe.
Kizimkazi patabaki Mahame..
Nimepita pale Jambiani, kuna nyumba alikuwa anakaa Samia alipokuwa Mbunge. Kaitelekeza hadi nyasi zimeota kwenye Mlango hakuna anayeishi.
Ndivyo itakuwa Kizimkazi 2031. Chato unaisikia
Akili za chawa woteWanaoenda Kizimkazi ni watu wanaokula Nchi. Ni Mafisadi, Wahujumu Uchumi, na Wana CCM wnaaofaidika na Chama
Sasa wewe hela ya kwenda Kizimkazi huna. Ni CCM kweli? Si Bora ujiunge na Masikini wenzio CHADEMA?
Kwamba usipoenda Kizimkazi unaonekana humuungi Mkono Samia.
Ili kujiipendekeza ni lazima uende ili uendelee kuteuliwa na Samia kuwanyonya Wananchi.
But bado miaka miwili huu upumbavu uishe.
Kizimkazi patabaki Mahame..
Nimepita pale Jambiani, kuna nyumba alikuwa anakaa Samia alipokuwa Mbunge. Kaitelekeza hadi nyasi zimeota kwenye Mlango hakuna anayeishi.
Ndivyo itakuwa Kizimkazi 2031. Chato unaisikia
Kambale wa Kisarawe!?? 😄Mkuu nimemuona yule kambale wa Kisarawe na kisauti chake cha mtoto wa chekechea ''tupo wengi, tupo wengi yupo kwenye ndinga na mkewe ananendesha anaenda Kizimkazi'' anajinasibu anaenda kuunga juhudi za mama mipasho! hawa ndio wanakula nchi lakini yana mwisho ni muda tu.
Hakika.Kuanzia 2030 hiyo Kizimkazi itageuka kuwa kama Chato.
Kizimkazi sio kama Chato. Kizimkazi iko Zanzbar ambako kuna serikali yaoWanaoenda Kizimkazi ni watu wanaokula Nchi. Ni Mafisadi, Wahujumu Uchumi, na Wana CCM wnaaofaidika na Chama
Sasa wewe hela ya kwenda Kizimkazi huna. Ni CCM kweli? Si Bora ujiunge na Masikini wenzio CHADEMA?
Kwamba usipoenda Kizimkazi unaonekana humuungi Mkono Samia.
Ili kujiipendekeza ni lazima uende ili uendelee kuteuliwa na Samia kuwanyonya Wananchi.
But bado miaka miwili huu upumbavu uishe.
Kizimkazi patabaki Mahame..
Nimepita pale Jambiani, kuna nyumba alikuwa anakaa Samia alipokuwa Mbunge. Kaitelekeza hadi nyasi zimeota kwenye Mlango hakuna anayeishi.
Ndivyo itakuwa Kizimkazi 2031. Chato unaisikia
Kama hamjui Kizimkazi ilianza kabla ya Samia. Serikali ya Zanzbar ndiyo itakayoendeleza Kizimkazi. Tofautisha na ChatoKuanzia 2030 hiyo Kizimkazi itageuka kuwa kama Chato. Nimekaa pale 👉🥸
Mtakuja kushuhudia. Watanzania ni wanafiki sana.
Unaboa tu. Kazi kuchafua nyuzi za wenzio.Akili za chawa wote
View attachment 3649650
Kwani chato hakuna Serikali?Kizimkazi sio kama Chato. Kizimkazi iko Zanzbar ambako kuna serikali yao
Tutafungua Gereza kubwa Pale ili uwe mfano.😂😂Kuanzia 2030 hiyo Kizimkazi itageuka kuwa kama Chato. Nimekaa pale 👉🥸
Mtakuja kushuhudia. Watanzania ni wanafiki sana.
Bado hujui. Kizimkazi itaendelezwa na serikali ya Zanzibar bila kujali Rais ni nani.Kwani chato hakuna Serikali?
Sijui hii "miwili" imetoka wapi?But bado miaka miwili huu upumbavu uishe.
Naogopa kuongea sana nisikufuru🤣🤣Mkuu nimemuona yule kambale wa Kisarawe na kisauti chake cha mtoto wa chekechea ''tupo wengi, tupo wengi yupo kwenye ndinga na mkewe ananendesha anaenda Kizimkazi'' anajinasibu anaenda kuunga juhudi za mama mipasho! hawa ndio wanakula nchi lakini yana mwisho ni muda tu.
Huwezi ukaelewa Faida yake kutokana na upofu wa akili na macho ulionaoHilo tamasha niliwahi kuuliza humu linafadhiliwa na pesa za nani na lina tija gani kwa mwananchi?