M Matrix19 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2020 Posts 15,568 Reaction score 29,756 Aug 13, 2026 #21 Lucas Mwashambwa said: Huwezi ukaelewa Faida yake kutokana na upofu wa akili na macho ulionao Click to expand... Taja faida moja ya hilo tamasha weww kidampa wa buku 7. Mbona hatukuwahi kuwa na Butiama, Kivure, Lupaso , Msoga, Chato festivals.? Halafu wewe ndio huwezi kuelewa maana kama umeenda huko basi umelipiwa hujui hata gharama kama mnavyosombwa kwenye malori kwenda kwenye mikutano. Nimeuliza maswali ya msingi ambayo huwezi kuyajibu.
Lucas Mwashambwa said: Huwezi ukaelewa Faida yake kutokana na upofu wa akili na macho ulionao Click to expand... Taja faida moja ya hilo tamasha weww kidampa wa buku 7. Mbona hatukuwahi kuwa na Butiama, Kivure, Lupaso , Msoga, Chato festivals.? Halafu wewe ndio huwezi kuelewa maana kama umeenda huko basi umelipiwa hujui hata gharama kama mnavyosombwa kwenye malori kwenda kwenye mikutano. Nimeuliza maswali ya msingi ambayo huwezi kuyajibu.
funaku JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 39,468 Reaction score 31,952 Aug 13, 2026 #22 wivu wa kike