Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

Nimekusaidia kucheka 😁
Bora tucheke, mi kuna muda najisikia vibaya. Watu wana maneo makali sana. Tuna watu wanatuzunguka ambao tunawapenda ambao kwa namna moja au nyingine waliangukia humo….. najaribu kuvaa viatu vyao. Hata hivyo nina wadogo wawili mabinti wazuri mnoo, yaani nawaombea sana wasifikie humo kwa bahati mbaya au kwa makusudi.

Single mothers stay strong.
 
Mkuu, Acha wadange mwisho wa siku watavuna walicho panda.

Mwanaume anaye oa mwanamke aliye kwisha zalishwa ana stahili Makofi ya kelbu.
 
atapata mzungu wazungu hawajali
 
Tupo tunawaangalia tu....hatuna shida ....Kila mtu na shida zake😘
 
Licha ya kuwa ndugu yangu wa karibu kabisa ni single maza lakini nasimama na huyo jamaa[emoji123].
Wadada katika ule umri wao huwa wanaringa sana.
Nakumbuka ndugu yangu alipata jamaa anataka kumuoa kabisa, mwamba alikuwa serious ila sistee akazungushaaa weee mwisho wa siku kaangukia kwa barobaro saiv tupo tunalea mpwa wetu. Maana mshkaji mwenyewe apeche alolo!!
 
Ha ha ha asante katibu.
 
Ngoja waje hapa utasikia mpk waone kaburi la baba mtoto ndo ataolewa
Siyo wote, kwa wenzetu waislamu hawana shida kwenye kuoa mwanamke mwenye mtoto, Kimbembe kwa wasiyo waislamu, kwasababu wao waislamu kuoa na kuachana ni jambo la kawaida utakuta mwanamke kaolewa na kuachika zaidi ya mara tatu na kazaa watoto kwa wanaume tofauti, Sasa kwa sisi Vijana wa kikristo au kwa wapagani hatuja zoea na siyo tamaduni zetu kuona Mama zetu wame zaa watoto kabla ya kuolewa, Tamaduni za mama wakiafrika ni kuzaa na mume mmoja tu, kama kazaa watoto kumi basi baba yao ni mmoja tu.
 
Hata mm nasimama na jamaa,utoaje mke wa mtu?,kuna uzi upo huku jamaa anajuta kuoa single mama mm mwenyewe ilibaki kidogo niingie kwa single mama mmoja hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…