Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

Nimekusaidia kucheka 😁
Bora tucheke, mi kuna muda najisikia vibaya. Watu wana maneo makali sana. Tuna watu wanatuzunguka ambao tunawapenda ambao kwa namna moja au nyingine waliangukia humo….. najaribu kuvaa viatu vyao. Hata hivyo nina wadogo wawili mabinti wazuri mnoo, yaani nawaombea sana wasifikie humo kwa bahati mbaya au kwa makusudi.

Single mothers stay strong.
 
Kwanza hajakutwa akiwa bikra,akasamehewa halafu tena anakuja baadae anasema pamoja na kunikuta siyo bikra,ila nimezalishwa kabisa.Aisee yataka moyo sana,wanaume tuna wivu sana,wadada mkitaka kuolewa kiroho safi,chingeni sana mienendo yenu kabla ya kuolewa.Ukute hata aliyemzalisha alivyoambiwa kua muoe huyu dada kwasababu umempa ujauzito,akajibu sikumkuta bikra,hivyo atakua na mahusiano na maex wake,ntaoa nitajayemkuta ni bikra,na akampata bikra akamuoa.
Enyi wanawake,ambao mnaolewa kwasasa,ukiolewa jua kabisa anayekuoa hajakutana na bikra,akikutana na bikra,ushindani wako nayeye(huyo bikra),unakua mkubwa.Nawewe single mother,ukiolewa na mwanaume,jua huyo mwanaume,hajakutana na mdada bikra au ambaye siyo bikra ila hana tabia njema, ndiyomaana ukilinganisha nawewe, ndiyomaana kakuoa wewe.
Jitunzeni.
Mkuu, Acha wadange mwisho wa siku watavuna walicho panda.

Mwanaume anaye oa mwanamke aliye kwisha zalishwa ana stahili Makofi ya kelbu.
 
Uwezi amini jamani, nina mdogo wa mwisho anamika 27 miaka mitano iliyopita alipata mtoto wa kiume. Ila aliyempa ujauzito baadae alioa mwanamke mwingine.

Mwaka jana mwezi wa 8 alimpata kaka mmoja hivi ni mzuri sana na anamaisha yake. Mimi nilimpenda sana yule kaka, mdogo wangu aliniambie huyu ndo mume anayemtaka japo hakumwambia mapema kuwa anamtoto tayari.

Ila mwezi uliopita yule kaka alimwambia kuwa anahitaji kumjua zaidi kuusu familia yake na mahusiano yake ya mwanzo kabla hawajafika deep relationship.

Mdogo wangu akasema sawa, mimi nilimwambia kuwa mwambie mapema kuwa unamtoto tayari, pia usimfiche kuhusu uliyezaa nae mwambie tuu mahusiano yashakufa na tayari yeye anamke tayari. Mwembie mtoto wako hataaribu mahusiano yenu. Pia amwambie tuu kuwa haukupanga kuwa na mtoto ilitokea tuu.

Sasa wiki iliyopita alimwambie kuwa yeye tayari anamtoto, na aliyezaa nae yani Baba mtoto hana mahusiano nae wamebaki kuhudumia tuu mtoto na kuwasiliana kuhusu mtoto tu.

Baada ya kumwambia hivyo yule kaka jamani, jioni yake hakuwa anajibu hata sms , hata akimpigia anamwambia yuko busy. Alimfanyi hivyo kama siku 4 hivi.

Sasa juzi wamekutana yule kaka jamani akamwambia kuwa wewe tayari unamtoto nje. Mimi nataka kuwa na mwanamke ambaye tutakuwa na watoto wetu tuu wa ndoa peke yake.

Nilishangaa sana alimwambie kuwa kama unamtoto tayari tutawafundisha nini watoto wetu kuwa usizae kabla ya ndoa angali wewe tayari unamtoto kabla ya ndoa.

Huo ujasiri utautoa wapi. Lakini pia hata kuwaambia watoto usizini angalie wewe mama ushazini tayari.
Mawasiliano na baba mtoto yakizidi je mimi nitafanya nini. Mdogo wangu ameniambie hivyo.

Nimeshangaa sana jamani,

Hivi nyie wanaume mtoto anatatizo gani jamani. Kwani atazuia ndoa yenu isiwe na furaha jamani.

Kwa nini inakuwa ngumu kwenu kuoa mwanamke ambaye anamtoto tayari.

ACHENI UCHOYO NA ROHO MBAYA.
atapata mzungu wazungu hawajali
 
Bora tucheke, mi kuna muda najisikia vibaya. Watu wana maneo makali sana. Tuna watu wanatuzunguka ambao tunawapenda ambao kwa namna moja au nyingine waliangukia humo….. najaribu kuvaa viatu vyao. Hata hivyo nina wadogo wawili mabinti wazuri mnoo, yaani nawaombea sana wasifikie humo kwa bahati mbaya au kwa makusudi.

Single mothers stay strong.
Tupo tunawaangalia tu....hatuna shida ....Kila mtu na shida zake😘
 
Licha ya kuwa ndugu yangu wa karibu kabisa ni single maza lakini nasimama na huyo jamaa[emoji123].
Wadada katika ule umri wao huwa wanaringa sana.
Nakumbuka ndugu yangu alipata jamaa anataka kumuoa kabisa, mwamba alikuwa serious ila sistee akazungushaaa weee mwisho wa siku kaangukia kwa barobaro saiv tupo tunalea mpwa wetu. Maana mshkaji mwenyewe apeche alolo!!
 
Ili kuoa single mother lazima kuzingatia yafuatayo;

1. Lazima ushuhudie kaburi la baba wa mtoto.
2. Cheti cha kifo ( majina ya cheti yafanane na ya kaburi pamoja na kufuatilia uhalali wake ofisi za RITA)
3. Upate video ya mazishi kujiridhisha

NB:
Hakuna kitu kinaitwa mimba ya bahati mbaya.
SASA WEWE JICHANGANYE, HAKUNA RANGI UTAACHA IONA.
Ha ha ha asante katibu.
 
Ngoja waje hapa utasikia mpk waone kaburi la baba mtoto ndo ataolewa
Siyo wote, kwa wenzetu waislamu hawana shida kwenye kuoa mwanamke mwenye mtoto, Kimbembe kwa wasiyo waislamu, kwasababu wao waislamu kuoa na kuachana ni jambo la kawaida utakuta mwanamke kaolewa na kuachika zaidi ya mara tatu na kazaa watoto kwa wanaume tofauti, Sasa kwa sisi Vijana wa kikristo au kwa wapagani hatuja zoea na siyo tamaduni zetu kuona Mama zetu wame zaa watoto kabla ya kuolewa, Tamaduni za mama wakiafrika ni kuzaa na mume mmoja tu, kama kazaa watoto kumi basi baba yao ni mmoja tu.
 
Uwezi amini jamani, nina mdogo wa mwisho anamika 27 miaka mitano iliyopita alipata mtoto wa kiume. Ila aliyempa ujauzito baadae alioa mwanamke mwingine.

Mwaka jana mwezi wa 8 alimpata kaka mmoja hivi ni mzuri sana na anamaisha yake. Mimi nilimpenda sana yule kaka, mdogo wangu aliniambie huyu ndo mume anayemtaka japo hakumwambia mapema kuwa anamtoto tayari.

Ila mwezi uliopita yule kaka alimwambia kuwa anahitaji kumjua zaidi kuusu familia yake na mahusiano yake ya mwanzo kabla hawajafika deep relationship.

Mdogo wangu akasema sawa, mimi nilimwambia kuwa mwambie mapema kuwa unamtoto tayari, pia usimfiche kuhusu uliyezaa nae mwambie tuu mahusiano yashakufa na tayari yeye anamke tayari. Mwembie mtoto wako hataaribu mahusiano yenu. Pia amwambie tuu kuwa haukupanga kuwa na mtoto ilitokea tuu.

Sasa wiki iliyopita alimwambie kuwa yeye tayari anamtoto, na aliyezaa nae yani Baba mtoto hana mahusiano nae wamebaki kuhudumia tuu mtoto na kuwasiliana kuhusu mtoto tu.

Baada ya kumwambia hivyo yule kaka jamani, jioni yake hakuwa anajibu hata sms , hata akimpigia anamwambia yuko busy. Alimfanyi hivyo kama siku 4 hivi.

Sasa juzi wamekutana yule kaka jamani akamwambia kuwa wewe tayari unamtoto nje. Mimi nataka kuwa na mwanamke ambaye tutakuwa na watoto wetu tuu wa ndoa peke yake.

Nilishangaa sana alimwambie kuwa kama unamtoto tayari tutawafundisha nini watoto wetu kuwa usizae kabla ya ndoa angali wewe tayari unamtoto kabla ya ndoa.

Huo ujasiri utautoa wapi. Lakini pia hata kuwaambia watoto usizini angalie wewe mama ushazini tayari.
Mawasiliano na baba mtoto yakizidi je mimi nitafanya nini. Mdogo wangu ameniambie hivyo.

Nimeshangaa sana jamani,

Hivi nyie wanaume mtoto anatatizo gani jamani. Kwani atazuia ndoa yenu isiwe na furaha jamani.

Kwa nini inakuwa ngumu kwenu kuoa mwanamke ambaye anamtoto tayari.

ACHENI UCHOYO NA ROHO MBAYA.
Hata mm nasimama na jamaa,utoaje mke wa mtu?,kuna uzi upo huku jamaa anajuta kuoa single mama mm mwenyewe ilibaki kidogo niingie kwa single mama mmoja hivi
 
Back
Top Bottom