binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Bora tucheke, mi kuna muda najisikia vibaya. Watu wana maneo makali sana. Tuna watu wanatuzunguka ambao tunawapenda ambao kwa namna moja au nyingine waliangukia humo….. najaribu kuvaa viatu vyao. Hata hivyo nina wadogo wawili mabinti wazuri mnoo, yaani nawaombea sana wasifikie humo kwa bahati mbaya au kwa makusudi.Nimekusaidia kucheka 😁
Single mothers stay strong.