Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

Nakubalina na wewe asilimia 101. Kuna jamaa zangu wawili wameoa single mothers tena huyo mmoja kaoa li single mother lizee kumzi yeye kisa hela. Kinachomkuta kila akiwa na wana full kudharirishwa na li single mother lake. Yaan yeye hajaoa ila wameoana kwa kio mke nae anasauti hata mbele za watu. Ila mwamba anavumilia tu. Mm ni big nooo aisee
 
Acheni umalaya, ukishindwa fanya kwa akili.
 
nyongeza: mwanamke akipenda kwa mara ya kwanza, akatendwa; kamwe moyo wake hautapenda tena kama mwanzo.
 
Wanawake munapenda unafiki na kuto kuambiwa ukweli, ukweli ni kuwa

UKIWA SINGLE MOTHER TIALI WEWE UNA DOSARI

UKIWA SINGLE MOTHER TIALI WEWE UNA DOSARI

Kitu cha muhimu kuwa muwazo kuwa wewe ni single mother kwa mwanaume kabla mujaanza mahusiano au mwanzoni tu umwambie una mtoto...mwanaume akikupenda huku anajua una changamoto fulani suala linakuwa juu yake sio kwako mfano kakuona Baa anajua wewe malaya then anakupenda hapo anajua wewe malaya kakupenda hivyohivyo atarekebusha baadae, anakuona single mother anakutongoza hivyohivyo anakupenda sio anajua wewe plain anakupenda then baadae ajue wewe single mother lazima uachwe.

Kuna mwanamke nilimtongoza then baadae ndio namuuliza uliyemuweka Wallpaper nani anasema mwanangu 🚮🚮 nika m dump
 
Sisi kama wanaume nahisi hii case tumeimaliza salama...case closed [emoji375]
 
Mkuu umehau inabidi mifupa ipimwe DNA na mtoto kama ndio baba yake aliyezikwa. Nawasilisha
 
Unaweza kukuta kuna wanaoimba marufuku kuoa single mother huku kumbe nyuma kuna binti kamzalisha na mtoto kamtelekeza. Sisi watu weusi ni wanafiqun wa kiwango cha mwisho.
Mm ni mmoja wapo wala sijifichi kuna binti nilimzalisha ila sikumuoa kwasababu ya ujinga wake, wakati tupo kwenye mahusiano nilimwambia nahitaji kwenda kwenu ili tuishi kihalali kama mke na mume lkn alikataa katakata kwa kisingizio yeye bado hajafikiria kuolewa,huku na huku akapata mimba akataka kuitoa nikaweka ngumu bado niliendelea kuamini atabadilisha msimamo wake ila mwisho wa siku nilikuja kugundua baadhi ya tabia ambazo hapo mwanzo sikuziona,nikanyanyua mikono juu kushukuru nikajisemea kimoyomoyo afadhali alikataa nisiende kujitambulisha kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…