Ben-adam
JF-Expert Member
- Jun 2, 2023
- 1,043
- 2,309
sawa, lakini usionyeshe dalili kuwa bado unampenda hata kama unampenda kweli.Sasa kuficha mahusiano ya nyuma, angali unamtoto tayari ??
Huyo mtoto si inaonyesha kuwa ulikuwa kwenye mahusiano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa, lakini usionyeshe dalili kuwa bado unampenda hata kama unampenda kweli.Sasa kuficha mahusiano ya nyuma, angali unamtoto tayari ??
Huyo mtoto si inaonyesha kuwa ulikuwa kwenye mahusiano
pole mkuuHichi kitu kinanitesa sana personally,, I wish ..... Anyway acha niishie hapa
kweli mkuu!Kha..ukiambiwa wewe ni mwanaume wa 7 lazima pumbu zinyweee kwanza..wanaume tunawivu sana.
Nakubalina na wewe asilimia 101. Kuna jamaa zangu wawili wameoa single mothers tena huyo mmoja kaoa li single mother lizee kumzi yeye kisa hela. Kinachomkuta kila akiwa na wana full kudharirishwa na li single mother lake. Yaan yeye hajaoa ila wameoana kwa kio mke nae anasauti hata mbele za watu. Ila mwamba anavumilia tu. Mm ni big nooo aiseeMpaka Sasa nimejifunza haya kuhusu singomothers,
° wanawake huwazalia watu waliowapenda sana, hivyo Hadi anazaa Maana yake amempenda sana, hakuna bahati mbaya.
° Singo mothers Wengi Huwa na mawasiliano na waliowazalisha, na hivyo hufanya ngono several times .
° Ukiwa singo mother ni vigumu sana kuolewa, unless singo mother uwe na hela.
Acheni umalaya, ukishindwa fanya kwa akili.Uwezi amini jamani, nina mdogo wa mwisho anamika 27 miaka mitano iliyopita alipata mtoto wa kiume. Ila aliyempa ujauzito baadae alioa mwanamke mwingine.
Mwaka jana mwezi wa 8 alimpata kaka mmoja hivi ni mzuri sana na anamaisha yake. Mimi nilimpenda sana yule kaka, mdogo wangu aliniambie huyu ndo mume anayemtaka japo hakumwambia mapema kuwa anamtoto tayari.
Ila mwezi uliopita yule kaka alimwambia kuwa anahitaji kumjua zaidi kuusu familia yake na mahusiano yake ya mwanzo kabla hawajafika deep relationship.
Mdogo wangu akasema sawa, mimi nilimwambia kuwa mwambie mapema kuwa unamtoto tayari, pia usimfiche kuhusu uliyezaa nae mwambie tuu mahusiano yashakufa na tayari yeye anamke tayari. Mwembie mtoto wako hataaribu mahusiano yenu. Pia amwambie tuu kuwa haukupanga kuwa na mtoto ilitokea tuu.
Sasa wiki iliyopita alimwambie kuwa yeye tayari anamtoto, na aliyezaa nae yani Baba mtoto hana mahusiano nae wamebaki kuhudumia tuu mtoto na kuwasiliana kuhusu mtoto tu.
Baada ya kumwambia hivyo yule kaka jamani, jioni yake hakuwa anajibu hata sms , hata akimpigia anamwambia yuko busy. Alimfanyi hivyo kama siku 4 hivi.
Sasa juzi wamekutana yule kaka jamani akamwambia kuwa wewe tayari unamtoto nje. Mimi nataka kuwa na mwanamke ambaye tutakuwa na watoto wetu tuu wa ndoa peke yake.
Nilishangaa sana alimwambie kuwa kama unamtoto tayari tutawafundisha nini watoto wetu kuwa usizae kabla ya ndoa angali wewe tayari unamtoto kabla ya ndoa.
Huo ujasiri utautoa wapi. Lakini pia hata kuwaambia watoto usizini angalie wewe mama ushazini tayari.
Mawasiliano na baba mtoto yakizidi je mimi nitafanya nini. Mdogo wangu ameniambie hivyo.
Nimeshangaa sana jamani,
Hivi nyie wanaume mtoto anatatizo gani jamani. Kwani atazuia ndoa yenu isiwe na furaha jamani.
Kwa nini inakuwa ngumu kwenu kuoa mwanamke ambaye anamtoto tayari.
ACHENI UCHOYO NA ROHO MBAYA.
nyongeza: mwanamke akipenda kwa mara ya kwanza, akatendwa; kamwe moyo wake hautapenda tena kama mwanzo.Mpaka Sasa nimejifunza haya kuhusu singomothers,
° wanawake huwazalia watu waliowapenda sana, hivyo Hadi anazaa Maana yake amempenda sana, hakuna bahati mbaya.
° Singo mothers Wengi Huwa na mawasiliano na waliowazalisha, na hivyo hufanya ngono several times .
° Ukiwa singo mother ni vigumu sana kuolewa, unless singo mother uwe na hela.
lakini mtoto akiwa kwa baba yake hapo hambu hambu (nafuu)Usioe mwanamke aliyezalishwa, lazima atakuwa na mawasiliano na mwanaume aliyemzalisha, kuhusu mtoto wao.
Mistake za mzazi alizofanya past zinakufanya unajutia Sasa wewe kama mtoto dah.[emoji58]pole mkuu
😂😂😂🌝Comment section ni ya moto aisee! Sijui nicheke au nisikitike. 😂😭
Naunga mkono hojaWeka namba ya huyo mwamba nimpongeze hata kwa safari kubwa
Ila irene uwoya akikupa unaoa hata kama uchi wake ni public?
Mkuu umehau inabidi mifupa ipimwe DNA na mtoto kama ndio baba yake aliyezikwa. NawasilishaIli kuoa single mother lazima kuzingatia yafuatayo;
1. Lazima ushuhudie kaburi la baba wa mtoto.
2. Cheti cha kifo ( majina ya cheti yafanane na ya kaburi pamoja na kufuatilia uhalali wake ofisi za RITA)
3. Upate video ya mazishi kujiridhisha
NB:
Hakuna kitu kinaitwa mimba ya bahati mbaya.
SASA WEWE JICHANGANYE, HAKUNA RANGI UTAACHA IONA.
Mm ni mmoja wapo wala sijifichi kuna binti nilimzalisha ila sikumuoa kwasababu ya ujinga wake, wakati tupo kwenye mahusiano nilimwambia nahitaji kwenda kwenu ili tuishi kihalali kama mke na mume lkn alikataa katakata kwa kisingizio yeye bado hajafikiria kuolewa,huku na huku akapata mimba akataka kuitoa nikaweka ngumu bado niliendelea kuamini atabadilisha msimamo wake ila mwisho wa siku nilikuja kugundua baadhi ya tabia ambazo hapo mwanzo sikuziona,nikanyanyua mikono juu kushukuru nikajisemea kimoyomoyo afadhali alikataa nisiende kujitambulisha kwaoUnaweza kukuta kuna wanaoimba marufuku kuoa single mother huku kumbe nyuma kuna binti kamzalisha na mtoto kamtelekeza. Sisi watu weusi ni wanafiqun wa kiwango cha mwisho.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ngoja waje hapa utasikia mpk waone kaburi la baba mtoto ndo ataolewa
[emoji23][emoji23][emoji23]Hii ni Sawa na -kuingia uwanjani ukiwa nyuma kwa goli moja.
Me 0-1 Ke
Lakini pia ni Sawa na kununua kiwanja chenye mgogoro. Why ujipe stress wakati ziko plot ambazo hazina mgogoro?