Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

Wengi huwa wanalazimisha kubakia na mtoto lakini bado atahangaika gharama za malezi kwa kusumbua watu baki au huyo mwanaume.

Mwisho wa siku mtoto akikua na kuwa mtu mzima lazima atamtafuta baba yake. Hapo baba mtu ndipo anaanza kuchukua points. Unakuta mwanamke ahangaika na mtoto hadi kafika chuoni huko. Mtoto akibanwa na shida anamcheki mama ampatie mahitaji mama anakuwa mkali anamwambia mtoto kuwa zingatia masomo, achana na maswala ya mavazi sijui smartphone, sijui laptop tumia na wenzako.

Mtoto anapata wazo kuwa mimi si nina baba lakini? Anafanya mchakato wa kumtafuta anampata. Anakuta mwamba ana pesa ya kubadili mboga. Baba anamwambia mwanangu mimi nakupenda sana, ila mama yako hakuwa anataka mimi niwe karibu yako.

Chukua hii pesa kanunue Smartphone, mwezi ujao unikumbushe nikufanyie shopping ya mavazi na hiyo laptop unambie unayotaka kuna baba yako mdogo yupo Dubai nimuagize akuletee na hii laki mbili chukua kwaajiri ya chakula ikusindikize huu mwezi hadi mwezi ujao. Ukiwa na shida usisite kuniambia mwanangu nakupenda sana.

Kwann Single mother usionekane ni Mchawi miaka yote hii umelea mtoto mwenyewe kwa shida ila mtoto anakuja kuona kumbe baba yake ni msaada mkubwa ila kwa roho mbaya yako hukutaka amlee. Mtoto anaanza kukuchukia. Ukiongea baya juu ya baba yake anakuona una chuki dhidi ya baba yake kipenzi.

Mtoto akisikia baba yake anaumwa anapata wasi wasi balaaa anakwenda kukesha nae hospital na kumpikia chakula. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Single mother wa kizazi hiki mtajua hamjui maana ni mwendo wa kufungwa mabao home and away. Mtaelewa vizuri ile amri ya 6. USIZINI. Na mtaelewa vizuri kwann watu huwa wanaolewa halafu ndio wanapata watoto na sio kinyume chake.
 
Bora huyo mdada ana mtoto na amesema ukweli,unakuta anapoenda kukimbilia ndio balaa ,Unamfata mwanadada haja mtoto kumbe kashatoa mimba mpka akifa shetani atamkataaa....
Hawezi kutana na wa hivyo sababu ndani ya nafsi yake ana dhamira nzuri tu ya kulinda uzao wake. Au haukusoma sababu zake.
 
Sijui nipo off topic , hivi kwanini watoto tuseme wanne waliozaliwa na baba tofauti ila mama ni mmoja ,Huwa hakuna ile family bond , yaani ule upendo baina ya ndugu na ndugu?[emoji848]
Watoto wa baba m'moja huwa wanakuzwa na principles za kufanana. Na hata koo wanayotokea ni moja. So hata kama Mama ni m'moja then ni rahisi wao kwenda kwa mfumo m'moja.

But kama baba ni tofauti tayari mgawanyiko utakuwa dhahiri sababu kila mwanaume ana namna yake ya kuongoza mtoto wake. Mwingine upendo, mwingine chuki, mwingine ubinafsi, so watoto eventually wakianza kukua wanakuwa wanatafuta Paternal leadership kwa baba zao.

So lazima watatofautiana na kukaa mbali maana baba zao ni tofauti.


Yaani hapo ni sawa na kuuliza kwann wanasiasa linapokuja swala la katiba wanaanza kutofautiana ingawa wanatakiwa kujadili ajenda za kitaifa na wanajenga taifa moja?
 
Unaweza kukuta kuna wanaoimba marufuku kuoa single mother huku kumbe nyuma kuna binti kamzalisha na mtoto kamtelekeza. Sisi watu weusi ni wanafiqun wa kiwango cha mwisho.
Hii ni kujitetea.
 
Njoo VIP lounge huku uchill na the Big boys. Tumeshaclear bill yako yote njoo huku juu agiza unachotaka its on the table. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] "...mwanangu mimi nakupenda sana, mama yako hakutaka niwe karibu na wewe. Chukua hizi laki mbili zitakusogeza[emoji23], na chukua hii iPhone 14 Pro bado ni mpya tu nimeitumia kama mwezi hivi[emoji23], na mwezi ujao utaniambia ni aina ipi ya laptop unataka, kama ni apple au lenovo... usisite kunikumbusha mwisho wa mwezi huu, na usisahau kunikumbusha suala la shoppong pia[emoji23], baba yako mdogo anataka sana kuonana na wewe..."[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Sasa hapo uchoyo na Roho mbaya inatoka wap?

Wew ungekuwa una kaka yako...ungekubali aoe mwanamke mwenye mtoto
Muulize mwanamke hili swali uone namna anayageuka tena maneno yake aliyoyasema mwenyewe kwa ulimi wake ndipo utajua hawa viumbe hawanaga aibu wala utu muda mwingine.
 
Tunakoelekea wanawake wataanza kuvinyonga vitoto ili waolewe
Waanze mara ngapi, hujui P2 ndio vidonge vyenye mauzo makubwa huko Pharmacy?! Nenda kwenye hizi dispensary ndogo ongea na daktari au muuguzi wakupe data za idadi ya mabinti na wadada plus wake za watu wanaotoa mimba changa, then uje usome tena ulichoandika.
 
Bonge la point.
 
Unatulaumu sisi badala ya kumlaumu aliyemzalisha kwa kifupi jamaa yuko sahihi sana apewe maua yake na hoja zake ni nzito.....ebu vaa viatu vya jamaa ungekuwa ww ungekubali kuoa mwanamke keshazalishwa na mumewe ajafa bado mzima??
Kweli jamaa katoa hoja nzito Sana kiasi kwamba hakuna jibu hapa. Mwenye uzi ajibu hizo hoja tuone
 
Upo sahihi kabisa. Hili tatizo si la upnde mmoja tu. Hivi vijogoo vinavyozalisha ovyo ovyo hivi tabu sana. Unamkuta binti ana 20 yrs ila tayari ni single mother. Aisee inaumiza sana.

Na wanawake anzeni kukataa kuolewa na single fathers.

Mm ni Me

Uliona wapi mwanaume anataka ndoa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah kibabe kama hivyo yaani.
 
Kuna jamaa alinichekesha alisema "ukimuoa mwanamke nliezaa nae nakua nakuja kwako asubuhi, mchana na jioni kumuona mtoto"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi nitakuwa naleta mahitaji ya mtoto hapo hapo anapoishi mama mtoto tena muda ambao najua jamaa yupo home. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole kaka , unapasha viporo na mama watoto.
 
Mimi nitakuwa naleta mahitaji ya mtoto hapo hapo anapoishi mama mtoto tena muda ambao najua jamaa yupo home. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa akikataa kukaa na mwanao??
 
Women control sex, birth and Homes, Men control Relationships, Family and Wealth.

Tusivalishane majukumu yasiyotuhusu. Single mother ni kosa la wanawake wanaume wasihusishwe. Utajitetea hapa kuwa kama wakibakwa. Mwanamke anapobakwa huwa inajulikana na sheria kali zipo. Na hizo kesi ni very rare kwenye jamii yetu. Kwamba unataka nambia kwa single mothers 1000 basi 999 ni walibakwa au walifosiwa kupata watoto kinguvu?! Jibu ji hapana.

Mwanamke anacontrol ya nani auguse mwili wake na nani apandikize mtoto katika mji wake wa uzazi hapo anawajibika kwa 100% hakuna kumlaumu mwanaume hata kidogo.

Mwanaume huwa analaumiwa kwa kukimbia Ndoa ya Mke halali anayejitambua na watoto wazuri tu. Mwanaume analaumiwa kwa kutokuwa na uwezo wa kusimamia majukumu ya familia kwa mwanamke ambaye anajitambua na ni msimamizi mzuri wa familia.

Hizi mbaga umeongea hapa ni katika kujitetea na kukwepa kuwajibika. Wanaume hatuhusiki na uzembe wa mwanamke anapochagua nani azae nae kisha aje kujisingizia ni bahati mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…