Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

Mwamba alielewa maelekezo ya kikao cha wanaume kilichoketi mwaka jana kua usioe single mother
 
🀣🀣🀣🀣 Siwezi mkatili kiasi hicho
 
Tusimalize maneno jamani tuna watoto wakike na dada zetu wakike kikubwa tuombe Mungu tu na ukikuta single mother usimtamikie maneno makali hvyo hakuna anaependa kuwa single mother ni mambo tu yanatokea kwenye safar ya maisha
 

Hapo ni kweli, ila mwanamke inapaswa kujua kuwa ukipendwa na mtu basi nawewe penedeka na hao wanaosema sitaki mwanangu alelewe na mwanaume mwingine ni ujinga tu, kama anamaanisha kwanini sasa asikuoe basi lakini utakuata mwanamke anagawa papuchi kwa Baby daddy.
 
Halafu hawataki kuwalazimisha walio wa dump wanataka kulazimisha wengine kabisa ambao hawakuhusika na upuuzi wao ili wawaingize kwenye chain yao
 
Aione JokaKuu
 
Kwamba jamaa yuko hai na wanawasiliana kwa kigezo cha mtoto,hivi wanawake wa karne hii mnatuchukuliaje sis wanaume??yaan imagine dyudu liko ndan afu apigiwe simu na jamaa kwa hyo nichomoe waongee kwanza,kwel?...kina JUNIA wanawazalisha na kukata kona mnarud kwetu kina MABULA na sis tumesanuka hatuoi bila kuona kaburi na chet cha kifo
 
Bora mimi nimebahatila singo maza na baba wa mtoto alishafariki hapa najipanga kwenda kulihakiki kaburi tuu tena kwa kumsindikiza dogo.
Baada ya hapo ndio nitume mshenga kisha nioe kabisa.
 
HIYO KUHUDUMIA MTOTO TU NDO INALETA SHIDA, MWANAMKE YEYOTE ALIYEZAA NI NGUMU KUMNYIMA MBUNYU MZAZI MWEZAKE.ILA ASIKATE TAMAA ATAKUTANA NA WANAUME WALIOZAA KABLA YA NDOA AU MGANE AU WAMETALIKIANA, HAO HAWANA SHIDA NGOMA DROOO.AWE MVUMILIVU NA NIDHAMU NA MAISHA YAKE ATAONEKANA TU
 
Bora mimi nimebahatila singo maza na baba wa mtoto alishafariki hapa najipanga kwenda kulihakiki kaburi tuu tena kwa kumsindikiza dogo.
Baada ya hapo ndio nitume mshenga kisha nioe kabisa.
Tulikubaliana kikao cha mwisho single mother tunaoa endapo utaonyeshwa kaburi la mzazi mwenza.

Lakini kuna mjumbe mmoja akaongezea ni lazima uonyeshwe CD au flash yenye video ya mazishi ikiwa imeambatana na maelezo ya historia fupi ya marehem yenye kuthibitisha kua ni kweli ameacha single mother (ikiwa linatajwa kabisa jina la huyo mama) pamoja na mtoto. Tena wawe wameonekana wakiwa wanahudhuria hayo mazishi kupitia hiyo video.

Kinyume na hapo USIOE.
 
Tusimalize maneno jamani tuna watoto wakike na dada zetu wakike kikubwa tuombe Mungu tu na ukikuta single mother usimtamikie maneno makali hvyo hakuna anaependa kuwa single mother ni mambo tu yanatokea kwenye safar ya maisha
Kama yanatokea kwa kubakwa, hapo sawa.

Ila kama yanatokea kwa kutongozwa na akaridhia kwenda kulalwa hadi mimba, hapo hamna cha bahati mbaya.
 
Hata hao hawataki single maza, ni asili ya mwanamke kulea yeyote, ila siyo asili ya mwanaume kulea yeyote.
Asili ya mwanaume ni kulea yule anayekwambia lete nikusaidie kulea, au mlete nitamlea, lakini si kulea aliyemkuta.
Utaratibu wa wanaume ni kwamba ukimkuta single maza basi jua huo mji tayari una wenyewe na wameshaweka beacon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…